fdizzle JF-Expert Member Jul 29, 2015 1,891 2,367 Apr 24, 2019 #1 Wakuu Kama kuna anaejua mbegu nzuri ya pilipili hoho na sehem gani ntapata kwa hapa Dar Nipo Dar ntashukuru kwa msaada
Wakuu Kama kuna anaejua mbegu nzuri ya pilipili hoho na sehem gani ntapata kwa hapa Dar Nipo Dar ntashukuru kwa msaada
M Michewen JF-Expert Member Jun 27, 2012 24,534 32,141 Nov 8, 2019 #2 Njoo iilipokuwa Majembe Auction Mart tukupe mbegu bora kwa bei nafuu