Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

*NGOCHO CROSS AND PURE BREEDING LTD DODOMA-MPWAPWa* tunakuletea vifaranga wa umri wa siku moja kwa *tsh 1500/=* Aina tulizo nazo ni:- 1. *KUROILER F1* 2. *ISRAEL/NEW HAMPSHIRE RED* 3. *RHODES...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello Habari Wakuu. Nahitaji mtu ambae ana gari yake ndogo ndogo mfamo Vitz, IST, wish, spacial nk namba C ambayo amepaki tu nyumbani haitumii aweze kuniuzia kwa makubaliano ya malipo kila mwezi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu wanajukwaa,natafuta friji ya kununua ambayo Ina sehemu ya freezer,iwe kwenye hali nzuri bajeti 250,000/= nasisitiza iwe kwenye hali nzuri.mwenye nayo njoo Pm tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Pata kiwanja kwa Bei chee Mwembe Mdogo Kigamboni 696 square meters Kimepimwa +255714908121 Bei (3700000)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mfanyabishara anayeuza glass jar (bottles) kama hiyo kwenye picha hapo chini nahitaji, 200g kuanzia 300 pieces. Taja bei tafadhali. Inbox ikiwezekana tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
669 Views
Naitaji waya wa 2.5mm mita 30 na 1.5 mm mita 50.nitafute kwa namba 0745076270 tufanye biashara.na pia naitaji switch circuit za single 3 na 1 gang 1 way switch nazo 3(tronic) Location-dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nadia type SU inaunzwa milioni tano Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau habari? Kuna mdau anahamia mkoa wa mbali kikazi na kwa sababu hiyo ameamu kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndani kama ifuatavyo: 1. Sofa (za watu wawili*3), 2. jiko la gesi la kioo (2...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Vitu tajwa hapo vinauzwa, sofa mbili, fridge, meza na kabati. Vyote bei 400,000/- Muuzaji anahama yupo Dar. 0714 260 266 0625 627 164
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nahitaji kujua bei ya cooler box kama inavyoonekana katika picha. Kwa ajili ya biashara ya maji na vinywaji vingine vinavyohitaji ubaridi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gari iko kwenye hali nzuri Haidaiwi wala haijawahi kupigwa rangi Automatic gear 4wd Petrol engine Bei ni mil6, maongezi kidogo yapo Njoo 0763969066 tuzungumze Gari iko dar kigamboni
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza king'amuzi cha azam chenye dish lake pamoja na TV inch 21 ain ya Mr. UK vyote vikiwa na remote zake. Bei yake ni laki tatu (300,000) kwa vyote. Viko Dar, Nichek PM tufanye biashara...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa... kwa mara nyingine tena, ninapenda kuchukua fursa hii kutangaza kitabu cha ZAWADI YA USHINDI cha BEN MTOBWA kwa wale wote wanaohitaji. Bei ni shilingi 7000. Mpaka sasa...
2 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari wapendwa. Mimi ni kati ya watu ambao tupo jf na tunaonaga mara kwa mara watu wakiibeza biashara ya forex. Tunachokifanya tunaishia kusoma comments na kutulia tu. Mnaoamini kwamba forex ni...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Duka liko mbagala kibonde maji mbele kidogo ya zakhem, ni sehemu nzuri kwa biashara hususani mahitaji ya nyumbani ila naliuza kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu..friji na frizer vyote...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za wana JF, Mimi natafuta shamba la kupanda miti aina ya Pine, for export. Natafuta kuanzia 100,000 hectares and above. Nitashukuru nikipata msaada haswa nikipata sehemu za Iringa, lakini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Samaki aina ya kambale wanapatikana kwa bei ya 8000/= kwa kilo. tupo Kimara Suka Njoo uchague mwenyewe kutoka bwawani. karibuni sana. mawasiliano 0762397421
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu nyote kwa ujumla. Bila kupoteza muda nilikuwa naomba nielezee tatizo hitaji langu nilikuwa naomba kufahamu ninwapi naweza kupata Betri za Rongta mini thermal printer kwa aliye nazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom