GPS kwa ulinzi wa gari, bajaji, pikipiki yako

Oct 5, 2018
55
4
Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu.

GPS car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza lifespan yake. Na ni ulinzi wa uhakika

Kujua gari ilipo, inakoelekea, kujua mwendokasi, kujua mwenendo wa mafuta, kupata taarifa kama gari imegonga au kupinduka, kupata taarifa kama gari imetoka katika uzio uliojiwekea na kujua gari inatakiwa kufanyiwa service lini n.k

Tupo Magomeni
Piga 0717267636
 
Wewe hii umeitoa wapi hapa kwenye bandiko? Au ndio torture theory, jamaa mpaka kataja bei mwenyewe
Hiyo trend nimeiona kama mara ya pili sasa, mtu anatoa bidhaa halafu hataji bei, then anatokea mtu kama huyo anaongelea bei ya juu na ukicheki haijatajwa popote pale kwenye thread

By the time Mtoa Mada anatsuka a nakuta watu wanaongelea bei ambayo hata hana idea nayo, inabidi tu ataje bei halisi kama alivo fanya jamaa hapo juu

Kumbe ndo torture theory,? Asee, It works!
 
Mtandaoni ukitaka jibu usiulize swali, utchelewa. Wewe toa maelezo yako ya uongo uone utakavyosahihishwa fasta.
 
Hiyo trend nimeiona kama mara ya pili sasa, mtu anatoa bidhaa halafu hataji bei, then anatokea mtu kama huyo anaongelea bei ya juu na ukicheki haijatajwa popote pale kwenye thread

By the time Mtoa Mada anatsuka a nakuta watu wanaongelea bei ambayo hata hana idea nayo, inabidi tu ataje bei halisi kama alivo fanya jamaa hapo juu

Kumbe ndo torture theory,? Asee, It works!
Nikweli. Lakini sio kitu kibaya maana yote nimitazamo tu.

Nakumbuka huyu jamaa huwa ananifata kwenye threads zangu nyingi tu. Nahisi nimtu mzuri kwetu
 
Tunafunga pia camera ktk gari (ndani ya cabin. Contain. Bus. Trailer nk)

Utaona matukio yote yatakayokuwa yakiendelea kupitia simu yako au komputa yako.
 
Hiyo trend nimeiona kama mara ya pili sasa, mtu anatoa bidhaa halafu hataji bei, then anatokea mtu kama huyo anaongelea bei ya juu na ukicheki haijatajwa popote pale kwenye thread

By the time Mtoa Mada anatsuka a nakuta watu wanaongelea bei ambayo hata hana idea nayo, inabidi tu ataje bei halisi kama alivo fanya jamaa hapo juu

Kumbe ndo torture theory,? Asee, It works!
It works mzee. Yaani una provoke mtu makusudi ili aloose focus.

Mara nyingi inatumika kwenye mapenzi kama unahisi unadanganywa au polisi wakifanya upelelezi. Lazima uropoke
 
It works mzee. Yaani una prove mtu makusudi ili aloose focus.

Mara nyingi inatumika kwenye mapenzi kama unahisi unadanganywa au polisi wakifanya upelelezi. Lazima uropoke
Duh, Sikuwahi kulijua hilo
 
Back
Top Bottom