Nahitaji samsung j7 pro, isiwe ya wizi

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
253
213
Anayueza simu tajawa hapo juu, naitaji

Sifa
Isiwe ya wizi
Isiwe na mipasuko yeyote
life time ya betry izingatiwe

Bei iwe ya mkulima wa jembe la mkono

Karibuni
 
Samsung kwa bei ya mkulima wa jembe la mkono ina sifa zifuatazo:
Feki
Imepasukapasuka
Betri ya kuchaji kila saa
Mbovu
Ya wizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom