Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
habari wakuu nauza kiatu cat original kabisa kimenunuliwa UK kwa bahati mbaya hakijanitosha..ni namba 42.
bei 180000
bei 180000
Kiatu cha laki 80 ili nimfurahishe nani? Maskini wanajikakamuaga sana kununua vitu vya gharama ili waonekane matajiri while matajiri hawana huo muda coz wanajua wewe unajua wao ni matajiri.
Siku ukipata mouse uniletee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu? Viatu vinaibiwa, inatokea unavichoka, viatu vinapita fashion e.t.c its better kununua affordable shoes ili kuwa na sustainable economy. Jamaa anaofajya ji ufujaji wa pesa unless awe amepewa kama zawadi.Ni kufunga mkataba wa maisha mkuu,
mkuu hiki kiatu sio cha fashion anyways haya bwana...Sio kweli mkuu? Viatu vinaibiwa, inatokea unavichoka, viatu vinapita fashion e.t.c its better kununua affordable shoes ili kuwa na sustainable economy. Jamaa anaofajya ji ufujaji wa pesa unless awe amepewa kama zawadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
umasikini unao wewe mkuu, hali ulionayo usiipambanishe na wengine watu wanavaa viatu vya dola 2000 itakua hiki cha dola 50 mkuu? mbona watu wanakunywa bia za milion kisha wanakojoa wanaenda kilala,usifanye hivyo mzee, hata hayo masandles wanayoyavaa akina billgates usiyaone kwa macho tu ukadhani ni kama yale yanayouzwa na wachina kariakoo..Kiatu cha laki 80 ili nimfurahishe nani? Maskini wanajikakamuaga sana kununua vitu vya gharama ili waonekane matajiri while matajiri hawana huo muda coz wanajua wewe unajua wao ni matajiri.
Siku ukipata mouse uniletee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh! Don't panic dude. Hutaki kukubali umaskini ungekuwa tajiri usingekuja kuuza lakuchumpa hapa JF. Maskini sisi ni watu wa ajabu sana. Tuna struggle sana kuonekana matajiri ilhali hali zetu ni dhohofu ilhali. [emoji16]umasikini unao wewe mkuu, hali ulionayo usiipambanishe na wengine watu wanavaa viatu vya dola 2000 itakua hiki cha dola 50 mkuu? mbona watu wanakunywa bia za milion kisha wanakojoa wanaenda kilala,usifanye hivyo mzee, hata hayo masandles wanayoyavaa akina billgates usiyaone kwa macho tu ukadhani ni kama yale yanayouzwa na wachina kariakoo..
kama huna hela sema upewe bure sio unazungusha domo tu kama mtoto wa kike...aftal siwezi kupanic kwa mtu mwenyementality za kipuuzi kama zako...kama huna hela unapiga kimya tu.Teh teh teh! Don't panic dude. Hutaki kukubali umaskini ungekuwa tajiri usingekuja kuuza lakuchumpa hapa JF. Maskini sisi ni watu wa ajabu sana. Tuna struggle sana kuonekana matajiri ilhali hali zetu ni dhohofu ilhali. [emoji16]
Mungu akupe wepesi uuze Mali Mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu? Viatu vinaibiwa, inatokea unavichoka, viatu vinapita fashion e.t.c its better kununua affordable shoes ili kuwa na sustainable economy. Jamaa anaofajya ji ufujaji wa pesa unless awe amepewa kama zawadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipe namba yako tuongee biashara mm fundi umeme kitanifaahabari wakuu nauza kiatu cat original kabisa kimenunuliwa UK kwa bahati mbaya hakijanitosha..ni namba 42.
bei 180000
View attachment 1004906
Eti la kuchumpa ha ha ha... La kupalama hilo!!Teh teh teh! Don't panic dude. Hutaki kukubali umaskini ungekuwa tajiri usingekuja kuuza lakuchumpa hapa JF. Maskini sisi ni watu wa ajabu sana. Tuna struggle sana kuonekana matajiri ilhali hali zetu ni dhohofu ilhali. [emoji16]
Mungu akupe wepesi uuze Mali Mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ungekuwa tajiri si ungegawa bure tuumasikini unao wewe mkuu, hali ulionayo usiipambanishe na wengine watu wanavaa viatu vya dola 2000 itakua hiki cha dola 50 mkuu? mbona watu wanakunywa bia za milion kisha wanakojoa wanaenda kilala,usifanye hivyo mzee, hata hayo masandles wanayoyavaa akina billgates usiyaone kwa macho tu ukadhani ni kama yale yanayouzwa na wachina kariakoo..