Kama kuna tangazo radio Cloud's FM hawapendi kuliweka hewani ni la Pepsi lililomhusisha Diamond

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Unaambiwa wakati wa tangazo lile ukifika liweke hewani watangazaji wa kipindi husika hununa na huwa hawana namna tu kwa sababu ya pesa.

Jamaa yangu mmoja kaniarifu Cloud's FM kama wana adui namba moja katika Nchi hii ni huyo diamond!
 
Back
Top Bottom