Frame za miwani bomba za macho zinauzwa ujumla na rejareja- from france

MOSHIZZLE

Member
Feb 17, 2010
79
11
waungwa mabibi na mabwana napenda kuwafahamisha kuwa kwasasa tuna frame za aina nyingi za miwani za macho ambazo tunauza direct kama maagent wa kampuni. bei zetu ni sawa na bure ukifananisha na maduka yote ya tanzania, na pia tutakuelekeza jinsi ya kuepuka gharama kubwa za kununua miwani. kwamaelezo zaidi tuwasiliane kwa email . nimeattach moja ya ya miwani nyingi
tulizo nazo.email: honestaugustine@yahoo.com au moshizzle81@hotmail.com . asanteni
namba ya simu ni ndiyo ya muhusika mkuu mwenye hizo email 0086-15229243915 kwa muda na frames zinapatikana CCBRT na TANGA MJINI 0715565607 MUULIZIE Dr LUCY
BEI NI Tsh.36,000 AM-6316Brown.jpg AM-6322Brown.jpg AM-6316Brown.jpg

asanteni
 
Range ya bei ikoje? Huna simu? Unapatikana wapi? Haya ni mambo ya nsingi kuifanya post yako isi attract clarifications!
 
good move, ingekuwa vema ukatuwekea majina ya designers na bei ama ni design moja tu na bei ndio 35,000?
tumefanya bei kuwa ni moja maana tofauti katiyake ni 1usd lakini ni aina 4 tofauti tunazo kwa sasa. Kwa wanunuzi wa ujumla tuwasiliane kwenye emails nilizo wapa.
Sisi tuambie upo wapi tutakufikia kwaharaka iwezekanavyo.
HUNA HAJA YA KUNUNUA KWA SHILINGI 100,000 SISI TUTAKUUZIA ZETU NA UTASAVE ZAIDI YA100% IKIWA COMPLET NA LENS ZAKE.
SISI TUTAKUUZIA FRAME 35,000 +KUWEKA LENS(5000-10000)=(40,000-45000TSH)
 
Yaani mko odsm na tanga tuu mikoa mingine kama ya kusini na kanda ya ziwa vipi?
 
waungwa mabibi na mabwana napenda kuwafahamisha kuwa kwasasa tuna frame za aina nyingi za miwani za macho ambazo tunauza direct kama maagent wa kampuni. bei zetu ni sawa na bure ukifananisha na maduka yote ya tanzania, na pia tutakuelekeza jinsi ya kuepuka gharama kubwa za kununua miwani. kwamaelezo zaidi tuwasiliane kwa email . nimeattach moja ya ya miwani nyingi
tulizo nazo.email: honestaugustine@yahoo.com au moshizzle81@hotmail.com . asanteni
namba ya simu ni ndiyo ya muhusika mkuu mwenye hizo email 0086-15229243915 kwa muda na frames zinapatikana CCBRT na TANGA MJINI 0715565607 MUULIZIE Dr LUCY
BEI NI Tsh.35,000View attachment 31689View attachment 31690View attachment 31689

asanteni

physical address zinakouzwa (duka lenu) please, au ccbrt ndiyo dukani?
 
Hatuna duka kwasasa ila tunawasambazaji tu, tunafanya kazi online tunapokea order nakisha tunakuletea kulingana idadi unayoihitaji.
SEMA UKO WAPI NA UNAHITAJI AINA GANI NA NGAPI TUTAJUA JINSI GANI YA KUKUFIKIA.
 
safi sana! mie nataka haraka ila pls niambie ubora wake tofauti na nyingine. mbona nimewahi kuuziwa 15.000? hebu eleza tofauti
 
mie nipo morogoro ntaipataje hiyo frame?
kama wewe ni yule ulieniandikia kwenye email yangu nafikiri tumeshayamaliza utaipata leo au kesho. Ila kama nimwingine unaweza kuniandikia na idadi unayotaka ili tuzitume kwa pamoja haraka iwezekanavyo.
Asante
 
Mnaweza kucheki miongoni mwa frame zilizopo kwenye hii document, hizi ni frame ambazo ni za kisasa zaidi hiyo ndiyo tofauti ya kwanza na pia bei yenyewe kwenye maduka inakuonyesha kuwa ndiyo zipo sokoni kwa sasa utakuwa miongoni mwa watu wachache wanaojaribu products zetu. Furahia kwa gharama nafuu kipindi hiki cha mwanzo. Sisi ndiyo wahusika wa moja kwa moja. Napia unaweza kwa wale wanaohitaji pia kufungua clinic za macho pia tunamachine za kila aina za kuhusu macho unaweza kuorder nasi tukakuandalia.
Asante
 
Attachments

  • FRAMES SAMPLE.docx
    729 KB · Views: 270
niandikie kwenye email yangu nauniambie uko wapi nitakuletea au utaifata kama upo karibu nijulishe kisha tupange jinsi yakupeana, maana tunawatu wetu arusha, tanga, moshi, morogoro, dar, nasehemu nyingine kwa ombi maalum kutoka kwenu.
asante
 
waungwa mabibi na mabwana napenda kuwafahamisha kuwa kwasasa tuna frame za aina nyingi za miwani za macho ambazo tunauza direct kama maagent wa kampuni. bei zetu ni sawa na bure ukifananisha na maduka yote ya tanzania, na pia tutakuelekeza jinsi ya kuepuka gharama kubwa za kununua miwani. kwamaelezo zaidi tuwasiliane kwa email . nimeattach moja ya ya miwani nyingi
tulizo nazo.email: honestaugustine@yahoo.com au moshizzle81@hotmail.com . asanteni
namba ya simu ni ndiyo ya muhusika mkuu mwenye hizo email 0086-15229243915 kwa muda na frames zinapatikana CCBRT na TANGA MJINI 0715565607 MUULIZIE Dr LUCY
BEI NI Tsh.35,000View attachment 31689View attachment 31690View attachment 31689

asanteni

Mbona kama hizo zipo Hospital ya Mnazi Mmoja Dar na zinauzwa 10,000/= tu?
 
zione kwanza kwa macho yako mdau kisha unaweza ukatuelimisha hapa jamvini. na pia ukizipenda unaweza kutoa shukurani zako pia hapa jamvini. hizo niza bei ya juu zinaanzia 80,000-100,000 zione kisha uhakiki mwenyewe.
 
Mbona kama hizo zipo Hospital ya Mnazi Mmoja Dar na zinauzwa 10,000/= tu?

Zione kwanza kwa macho yako mdau kisha unaweza ukatuelimisha hapa jamvini. na pia ukizipenda unaweza kutoa shukurani zako pia hapa jamvini. hizo niza bei ya juu zinaanzia 80,000-100,000 zione kisha uhakiki mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom