Kutana na dalali mkongwe Morogoro mjini

Kutana na dalali mkongwe Morogoro mjini

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,291
Reaction score
14,573
Habari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,

Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa Morogoro mjini dalali nipo hapa
Na pia kama una nyumba au kiwanja unauza au unapangisha usisite kunitafuta



KARIBUNI WAKUU[emoji120]
 
Habari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,

Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa morogoro mjini dalali nipo hapa
Na pia kama una nyumba au kiwanja unauza au unapangisha usisite kunitafuta .

Mawasiliano 0673707284
What's app no 06236897


KARIBUNI WAKUU[emoji120]
Natafuta shamba huko, lipo?
 
Tuma picha jombaa tufanye biashara faster
 
Nipo Mikumi hapa!!nitumie picha tufanye biashara faster
 
Mkuu maeneo nyuma ya chuo cha kiislamu vip viwanja vinasimamaje kule,,karibu na uwanja mdogo wa ndege
 
Back
Top Bottom