IsaacMG
Member
- Dec 6, 2019
- 91
- 124
Nahitaji chumba kimoja master chenye luku inayojitegemea popote pale DSM ila nauli isizidi mia tano kufika kkoo.
Kiwe kizuri na isiwe uswazi sana .
Bajeti yangu ni 50k __ 100k
Mwenye nacho naomba anipm Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwe kizuri na isiwe uswazi sana .
Bajeti yangu ni 50k __ 100k
Mwenye nacho naomba anipm Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app