Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wana Jamii.. Mageti Yanauzwa yako makubwa mawili kama kwneye picha jeupe na jeusi na mdogo yako 11.Mageti yote ni mazima na yalikua yakitumika kwenye frame zangu za nyumbani. Niko sinza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maisha yetu kwa kiasi kikubwa, yamezungukwa na Matangazo (Advertisements) ya bidhaa au biashara mbalimbali. Tushikapo magazeti asubuhi, tusikilizapo vipindi vya redio, tuangaliapo vipindi vya TVs...
4 Reactions
23 Replies
24K Views
Habari ya alasiri wadau na poleni na mihangaiko ya siku nzima. Natumaini mko poa. Nisiwachoshe niende kwenye hitaji langu. Wadau ninatafuta shamba la kukodi preferably maeneo ya Ruvu kwa ajili ya...
0 Reactions
77 Replies
15K Views
Habari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe, Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa Morogoro mjini dalali...
6 Reactions
147 Replies
33K Views
Msaada anaejua mahali wanauza ESC anielekeze, pia kama anajua bei itapendeza. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
2 Replies
516 Views
OFFER OFFER OFFER Samsung galaxy s6 Brand new full boxed All accesories available All colors 32gb 16mp camera 4g lte Only 320000tsh Free delivery in Dsm Call 0716119347
1 Reactions
131 Replies
16K Views
Nauza I ya cotton yapo mawili na foronya mbili bei ni elfu ishirini yu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, natafuta boda boda ya mkataba au kwa siku, maongezi zaidi nipo hapa kujibu, nipo Dar es Salaam. Tufanye biashara.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye kuhitaji nyumba ya kisasa vyumba 3 ,viwili ni master. Ipo madale mwisho, Barabara ya mbopo. Imeisha rasmishwa(pandiwa beacon/ na process za hati miliki zinaendelea.) Mawasiliano kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwema nyumba ya kukodishwa inahitajika maeneo ya boko isizidi mbele ya boko chama. Bila shaka humu tuna ma landlord. Iwe ndani ya fence. Vyumba viwe viwili kimoja master. Umeme na maji...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Natafuta wauzaji wa jumla wa stationeries &books kwa dar es salaam Mawasiliano 0620826776 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Ac compressor ya toyota allex inahitajika Dar
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Hawajaona sijui
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Je unahitaji samaki wa urembo? Je unahitaji kasha la kuhifadhi samaki wa urembo (aquarium)? Je unahitaji vyote viwili, yaani samaki wa urembo na kasha la kuwahifadhi? Wasiliana nasi kwa namba...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Unaambiwa wakati wa tangazo lile ukifika liweke hewani watangazaji wa kipindi husika hununa na huwa hawana namna tu kwa sababu ya pesa. Jamaa yangu mmoja kaniarifu Cloud's FM kama wana adui namba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
waungwa mabibi na mabwana napenda kuwafahamisha kuwa kwasasa tuna frame za aina nyingi za miwani za macho ambazo tunauza direct kama maagent wa kampuni. bei zetu ni sawa na bure ukifananisha na...
0 Reactions
38 Replies
24K Views
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita. Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuwa mjanja Je wewe ni mjasiriamali ambaye mara kwa mara unatoa quotes pamoja na invoices kwa ajili ya wateja wako? Je huwa unachapa vitabu vya quotation pamoja na invoices kwa ajili ya Biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji chumba kimoja master chenye luku inayojitegemea popote pale DSM ila nauli isizidi mia tano kufika kkoo. Kiwe kizuri na isiwe uswazi sana . Bajeti yangu ni 50k __ 100k Mwenye nacho naomba...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Back
Top Bottom