Hello JF team,
Kama una mzigo wowote unaitaji usafirishwe kwa gari aina ya Canter kutoka Dar, Moro, Dodoma, Singida, Shinyanga hadi Mwanza.
Au kama unahitaji mzigo utoke kati ya mikoa hiyo na...
Salam wakuu,
Mimi ni mdau wa misitu na utunzaji wa mazingira.
Nahitaji kupata wataalam wa kuandika business proposals za kuombea hela kwa wafadhili juu ya uendelezaji misitu na utunzaji wa mazingira
Haya sasa hii ni chumba sebule,
INA ka jiko kwa pembeni...
Chumba yake INA choo kwa ndani ...
Ni nyumba mpyaa ...
Parking hata kama una gari 3 !!
IPO Makongo Juu... Ya Dar Es ...
Umbali mfupi...
Nyumba ipo kimara suka (golani)
Vyumba 4 kimoja ni master
Public toilet na bafu
Jiko, store, dining, sebule
Ipo karibu na shule ya liberty high school
Ipo kwenye kona inafaa hata kwa biashara
Feni...
Natafuta chumba Mwanza mjini naomba dalali alieko Mwanza anitafute nahitaji chumba pale mwanza mjini makoroboi au karibu na stendi ya zamani Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja kinatakiwa kiwe maeneo ya Kiluvya au Kibaha umbali usiozidi km 5 toka Morogoro Road.
Ukubwa isiwe chini ya mita za mraba 750, bei ISIZIDI Tsh 2,000,000/=(milioni mbili).
Zingatieni bei...
Nauza volcano box kwa ajili ya kuflashia simu not activated full boxed pamoja na cable zake zote bei 100k, kwa mawasiliano 0738253942, 0719152715
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza laptop aina ya dell
Inter core i3 RAM GB 4
Internal storage GB 300
Generation ya 3
Charge masaa 4
Bei 350,000
Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
eneo ni kubwa kwa ajili ya matumizi ya sheli
limekuwa surveyed na lina hati
location: njia ya goba kwenda mbezi
barabara imechangamka sana na ina lami..traffic ipo ya kutosha
mawasiliano...
nauza laptop aina ya dell core i3 ram gb 4 na internal storage gb 300 nipo magomeni kagera nichek namba 0715796040 jaman kama unaitaji picha nichek WhatsApp nakutumia
Hellow wapendwa poleni majukumu,
Karibuni chia seed kwa sh.elfu 9 tu kwa kilo moja
Chia seed ni safi na ndio imevunwa muda sio mrefu ,
Napatikana dar es salaam tegeta na popote pale utaletewe...
Ninauza hard disk 2000GB/2TB Sata ya desktop.
Ninapatikana Tegeta Dar es salaam. HDD bado mpya. Bei 120000 maongezi yapo. Kwa anayehitaji anipigie 0789 609 310.
Nahitaji laptop yenye bei ndogo budget laki 7 au 6 au 5 yenye uwezo mzuri wa games (level za gta 5), graphics and architecture.
Mnilelekeze hata anayeuza yuko wapi au account yake social media ni...
Wasalaam.
Tangazo kwa wamiliki wa Radio/podcast & tv.
Nina offer packages za matangazo ya sauti Pamoja na motion.
1.RADIO PACKAGES
Includes Main Radio jingles,Programs jingles, segments...
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM.
Asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.