Mafunzo ya karate

Mafunzo ya karate

Mkuu karibu sn katika ulimwengu wa martial art binafsi ninauelewa wa shotokan karate, je wewe upo wapi na muda wako upoje.karate ni mchezo mzuri sn madojo yapo manzese kanisani chini ya sensei jango, mbagala sensei muddy, kijichi milanzi, sanaa art pale ITV chini ya chikoko, tegeta sensei charz, mwanayamala sensei makwesa so ni ww tu na muda wako. hao wote ni shotokan karate michezo mingine sina info nayo. Karibu kwa swali lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na mambo ya karate utapoteza muda wako.

Inaweza ikakuchukua hata miezi miwili unafundishwa kupiga msamba tu hapo bado mazoezi mengine madogo madogo, mpaka uive inaweza ikakuchukua mpaka miaka.

Bora ujifunze boxing, ajili bodyguard wa kukulinda au fanya utaratibu upate chombo cha moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimdanganye mwenzako,inachukua muda mfupi labda kama uliwahi tapeliwa na wakufunzi uchwara,na karate mafunzo yake yanaenda kwa mpangilio malumu kulingana na unavyoelewa mapigo yake,kupiga msamba ni sehemu ya mazoezi ya viungo ya kawaida,lakini mbinu za kimapigano hufundishwa kila siku,nasema ninachokifahamu kiundani,maana hayo madojo tuliyapitia miaka mingi enzi zetu zile ukizingua tunakuomba msamaha,ukizingua tena tunakuonya,ukizingua zaidi tunaondoka,ukitufata hakuna cha zaida ni damu itaonekana ikichuruzika.
 
Unanikumbusha mbali Sana kipind hicho nilikuwa napenda kukimbia Sana kutoka kibamba had mbez daily jion Sasa huku nikiwa nimevaa G zang Sasa Kuna vijana daily wakawa wananichokoza nikawa si muda nao sasa wakat ulipofika ilikuwa mida ya Kama 12 jion hv wakawa wanamzingua mdada dizain Kama kutaka kumpora

Nadhan Hadi Leo watakuwa wanasimuliana jins walivyopata daawa vizuri na tangu siku hyo ikawa adabu kila wakiniona salamu kubwa brother vippp

Siku hizi gee zimekua nyingi sana,kipindi ilikuwa shida kidogo hata kuzipata,katika hii michezo kila mtu atakua na kumbukumbu zake,kuumia,kukata tamaa wakati mwingine,kuishiwa mood siku ya mazoezi,ila kila mtu alijifunza kulingana na nafasi ya muda ilivyokuwepo,ni maisha mazuri sana kama uwekezaji ungefanyika katika michezo hiyo.
Inamjenga mtu kuwa mvumilivu na kumlinda na matumizi ya hasira kwa asilimia tisini na tano,wengi waliopita huko wataelewa kwanini mtu anaweza kucontrol hasira kwa kiasi kikubwa.
 
Mkuu karibu sn katika ulimwengu wa martial art binafsi ninauelewa wa shotokan karate, je wewe upo wapi na muda wako upoje.karate ni mchezo mzuri sn madojo yapo manzese kanisani chini ya sensei jango, mbagala sensei muddy, kijichi milanzi, sanaa art pale ITV chini ya chikoko, tegeta sensei charz, mwanayamala sensei makwesa so ni ww tu na muda wako. hao wote ni shotokan karate michezo mingine sina info nayo. Karibu kwa swali lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
chikoko wa the guardian ni sensei?
 
Siku hizi gee zimekua nyingi sana,kipindi ilikuwa shida kidogo hata kuzipata,katika hii michezo kila mtu atakua na kumbukumbu zake,kuumia,kukata tamaa wakati mwingine,kuishiwa mood siku ya mazoezi,ila kila mtu alijifunza kulingana na nafasi ya muda ilivyokuwepo,ni maisha mazuri sana kama uwekezaji ungefanyika katika michezo hiyo.
Inamjenga mtu kuwa mvumilivu na kumlinda na matumizi ya hasira kwa asilimia tisini na tano,wengi waliopita huko wataelewa kwanini mtu anaweza kucontrol hasira kwa kiasi kikubwa.
Mm hata unitukane vip nitacheka tu nakuondoka kwa maana najua nitakachokufanya itakuwa kesi kubwa miaka hyo nilikuwa nakaa Sana stand kuwasaidia wanafunz Mana nilikuwa sipend waonewe kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom