Toyota Rav4 inauzwa Milioni 8

Rich Forever

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
467
469
Gari aina ya Toyota rav4 milango 5 linauzwa limetembea km 185000 gari ni Autamatic bei ya kuuza ni milion 8 tu

Gari lipo kwenye hali nzuri na limetunzwa vizuri sana.

Geri linapatikana Banana Gongo la Mboto.

Mawasiliano

0719590756
0692792519



IMG-20200107-WA0012.jpeg
IMG-20200107-WA0011.jpeg
IMG-20200107-WA0009.jpeg
IMG-20200107-WA0007.jpeg
IMG-20200107-WA0008.jpeg
IMG-20200107-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom