Naitwa kassim naishi dar ni mbunifu wa kutengeneza logo za Makampuni na sector binafsi Kama unaitaji waweza nicheki
0714121648
0620681129
Mfano wa logo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau wa JF nahitaji geto na vitu vyake..au at Kama anauza kimoja kimoja fresh kwa Alie Morogoro au dar anichek pm chap.natanguliza shukrani
Deal with photocopy, printer, computer in
:services
:repair
:sales spare parts of all machine above
:sales photocopy, printer, computer new and used
Contact info:call/WhatsApp: 0687982122...
Habari za wakati huu wakuu. Kwa wale wapenzi wa Movies ,Series na vitabu mbalimbali sasa tumekufikia.
Ni hivi Tuna collection ya movies zote kali sana za aina zote pamoja na series...
Habari ndugu zangu wana jf, nahitaji huduma ya ku unlock kitochi 4G ya vodacom ili laini namba 1 iwe inasoma mitandao yote
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu:Mafinga Mjini,changarawe block j
Plot no:318
Sqm. :1608
Umiliki. :hati
Unafikaje: ni mita900 kutoka barabara kuu ya
Mbeya-Dar
Maeneo ya karibu: Uwanja unatazamana na
Magori open...
Heshima yenu wadau. Nina mpango wa kuja kuweka tangazo langu kwenye Channel ya ITV. Ningependa kujuzwa aina ya matangazo ambayo channel hiyo wanatoa na gharama zake. Ntanguliza shukrani zangu za...
Make : Toyota
Model : Townace Truck (T-KM51)
Mileage : 54,840km
Engine size: 1,450cc (5k)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Manual
Drive : 4WD...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna shamba linauzwa lenye ekari 5.5 hectres, 2.5 hectares zimepandwa miti ya mwaka mmoja na sehemu iliobaki imesafishwa tayari kwa kilimo chochote.
Eneo...
Habari wana jf,
nauza King'amuzi cha Startimes kikubwa bati cha antenna BEI poa Shilingi 35000 tu.
Nipo Dar mwenye kuhitaji anicheki 0715992666 hii no ipo whatsapp pia hakina tatizo lolote...
Tunashukuru sana wakulima binafsi, taasisi za serikali na mashirika binafsi na wadau mbalimbali wa kilimo kwa kuweza kushirikiana nasi kwa namna mbalimbali katika kukuza sekta ya kilimo kwa mwaka...
Nauza Dell monitor 21' pamoja na 500GB HDD ipo na external case yake pia,
Price ni 200k
Nachek 0759870104 nipo Dar Es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau!
Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni...
Nahitaji kitanda cha 5×6 pamoja na godoro lake nina 140k only...
Godoro kama una godoro tupu used nichek pia nataka liwe la 5×6
Kitanda kitupu bila godoro pia cha 5×6 nicheki
Nipo dar ubungo...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU:
Hii ni baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.