Anza Mwaka wako kwa uhakika wa Umeme wa Solar au Backup za umeme

mwajanuzaj

Member
Sep 4, 2014
22
3
Anza Mwaka Wako na Uhakika wa Umeme Wa Solar Toka Resco T Ltd.
Ubora wa Systems zetu Upo Juu na Tunatumia Technolojia ya Kisasa.

Mawasiliano: 0784232526
Tupo Dar es Salaam, Nyerere Road EAGT BUILDING 3rd Floor Room No 322.

Huduma zetu ni Tanzania Nzima KARIBU SANA
IMG_20200106_070003_945.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika umeme ambao siupendi ni wa Solar yaani unautumia kwa MAGUTU,siku za mvua umeme unakuwa TIA MAJI TIA MAJI na wakati wa JUA yaani unatumia muda mchache kisha moto unakata!!! Na ukisema uinvest fedha nyingi ni bora ununue nguzo uzipeleke hadi kwako.
 
Umeambiwa ni system inayotegema jua... HALAFU WEWE UNATAKA JUA LIKOSEKANE HALAFU UMEME UWE KAMA VILE JUA LIPO..!! Yes kuna backup batteries, lakini, kama hazijajaa wakati zinachajiwa una tegemea nini?
 
Ndio maana siupendi not reliable.
 
Back
Top Bottom