Habari za sa hizi wakuu..nahitaji contena kwa ajili ya frem...mwenye nalo au anaejua connection za kulipata anichek pm...
Hata kwa anaeweza kutengeneza mobile frem zile za mabati ya geti pia...
Habari za kaz. kwa mwenye uhitaji wa mashamba ya uwekezaji wa miti ya nguzo na mbao iringa, wilaya ya kilolo anicheki kwa namba 0743628883, bei ya shamba kwa ekari shiling laki na hamsini. karibu...
Nauza Airpods na smart Bracelets kwa bei ya January 2020. CHECK ktk list then ufanye chaguzi ili tufanye biashara
Upande wa Airpods Brand zilizopo ni hizi hapa
QCY— QS2, T3 & T5
Bei ni —...
Katika kukabiliana na changamoto ya ufaulu wa masomo ya sayansi nchini, Excellence Tuition Centre inakuletea huduma bora kabsa ya masomo ya ziada kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha...
Fridge Brand : LG
Bado jipya kabisa
Ni energy server, (Linatumia umeme kidogo, Linajiwasha na kujizima automatically)
Lina Party ya Freezer (kugandisha) na kawaida
Lina warranty ya miaka 10.
Bei...
Tunaweka urembo mbalimbali katika nyumba kama madirisha, nguzo, kona, arch za nyumba, mikanda ya nyumba.Tutakufuata popote ulpo kwa mawasiliano 0712835623
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mnao hakia Dodoma,
Nakipangisha Chumba changu hapa Dodoma mjini karibia na Rainbow/ Malaika Lounge.
Hiki chumba nilikikarabati a kuingia mkatabaa na mwenye nyumba.
Gharama za matengenezo...
Wadau habarini ya jioni, poleni na pilika za dar hii, mshamba nimeingia toka mkoani na nimeambiwa Hotel nzuri ya kiwango changu ni CATE HOTEL je hapa mjini iko upande upi maana nimeahidiwa kwenda...
ARUSHA INSTITUTE OF TRAVEL AND TOURISM MANAGEMENT (USA-RIVER ARUSHA)
Ni chuo bora kinachotoa kozi mbalimbali zenye fursa za ajira kama vile:-
Certificate of Tour guide and administration...
Just imported, FULL duty paid, 2008 2.0 Diesel AUTO Transmission, SILVER color, 5 door, 4x4, black leather, ABS, Air conditioning, Alloy wheels, Cruise control, Front armrest, Headlight washers...
JE WAJUA KWAMBA UNAWEZA KUJIPATIA BMW X3 KWA MILIONI 19?
Salam kutoka Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji wa magari.
Kwa kushirikiana na makampuni zaidi ya 12 ya kijapan Kimomwe Motors inakuletea...
Nyumba hii inauzwa na mimi mwenyewe ambaye ni mmiliki halali kabisa.
Ina umeme na maji yapo.
Kwa kifupi kuna mtu ndani.
Bei ni 20 milioni fixed.
Kwa mawasiliano
0753255844
0625748562
Sent using...
Wakuu habari,
Nyumba ya vyumba viwili vinapangashwa.
Location: kimara mwisho
Price: 150,000
Contact: 0654171555 (WhatsApp)
Note: Huduma zote zipo, Maji, Umeme
Kwa maelezo zaidi nicheki kwa...
iPhone 7 128 gb inauzwa pamoja na chaji na box lake bila hearphone.
Inapatikana kwa Sh:670,000/=
Location Sinza unaweza kuletewa mahali ulipo.
Mawasiliano:0786552557.
Habari za mapambano wadau
Mimi ni mjasiliamali nina cleaning solution ambayo nategemea kuifanya kua kampuni mdogo mdogo. Nilinunua wet vacum cleaner ya total na ikaja na accesories zake kwa bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.