Nahitaji kiwanja Songea

Nahitaji kiwanja Songea

Masegense

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
201
Reaction score
350
Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi.
 
Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi.
Kama unataka kujenga shule binafsi ya kusomesha wanafunzi wanaopata mimba nitakupa. Huku kwetu dada hao wanadungwa mimba kila siku!
 
Jamani nauza/napangisha Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano.
Nipigie 0756 303344
Karibu tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom