RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 779
Habari wandugu natafuta freezer nzurii ninunue kama unayo tuma picha na Bei nikiipenda tufanye biashara nipo Dar es salaam..
Ndugu dukani Bei yake siiwezi naitaji la mtaani mtu amekwama labdamkuu si uzame dukani kwa wataka uhakika?
mkuu freezer la mtaani ni bei nafuu ila lazima uhakiki kuwa liko vizuri usije nunua kitu kikianza kuunguruma ni non stop, but yap mikononi yapo vizuri maana nayo yawetoka dukaniNdugu dukani Bei yake siiwezi naitaji la mtaani mtu amekwama labda
KABAKA28Habari wandugu natafuta freezer nzurii ninunue kama unayo tuma picha na Bei nikiipenda tufanye biashara nipo Dar es salaam..