Msaada ramani ya nyumbani za hostel.

Msaada ramani ya nyumbani za hostel.

Nami nipo na uhitaji 3 bed rooms,jiko, sebule, public toilet, master 1 ramani mbayo Haina corridor
 
Nasubiri uhondo wa Maramani ua ukweli hapa maaana wengine humu ugonjwa wao kujenga kujenga kujenga tu kila mwaka mjengooooo.
 
Njoo!nikuunganishe na wataalum wa Architecture na Civil wana maramani ya kibabe balaah.
Kukuunganisha bure ,ila wao ramani wanaziuza ,ukitaka unacholewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom