Natafuta Ofisi nzuri ya kupanga Dar

tanzaleo

Member
Oct 27, 2017
56
86
Wadau,

Heshima kwenu.

Natafuta jengo zuri Kwa ajili ya kuweka office ya kampuni inayojihusisha na mambo ya usafirishaji.

Maeneo yoyote ya Kinondoni ama mjini Kati yanayofikika Kwa urahisi na ambapo swala la parking ya magari madogo kwa si tatizo.

Budget ni Kati ya laki 4-6. Ukubwa wa ofisi ni wastani wa square metres 30.

Naombeni mawazo yenu Kwa anayefahamu eneo zuri lenye bei rafiki.

Natanguliza shukrani.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulizia haya majengo yanayo elekea kumalizika ujenzi wake... MF. Hapo krbu na tcra na mitaa ya mlimani city-survey...
 
Back
Top Bottom