Natafuta ofisi kwenye majengo makubwa/marefu Dsm

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Dear wanajamvi, natafuta nafasi kwenye haya majengo makubwa/marefu nafasi ndogo tu kwaajili ya ofc ndogo tu, nataka approx to 20 qsm metres au chini ya hapo,iwe along sam nujoma, from mwenge to morocco au unaweza kurecommend any etc. Najua majengo mengi wanapangisha kuanzia sqm 100 hivi na kuendelea lakini natumai yapo mengine yenye vijinafasi vidogo vidogo pia, so kama una any information pls niambie.

Natanguliza shukrani

ninayo ofisi nicheki whatsapp tu kwa sasa line yangu 0754 274 238 tuzungumze biashara mkuu
 
Back
Top Bottom