Sony Xperia C5 inauzwa

Sony Xperia C5 inauzwa

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,740
Reaction score
76,384
Kwa anaehitaji simu Sony Xperia C 5 inauzwa bei 8.5k, ipo katika Hali nzuri imetumika miezi 2 tu.
 
Hiyo simu ikiwa mpya haizidi $ 220, sasa hiyo yako used inafikaje laki 8.5??
 
Hiyo simu ikiwa mpya haizidi $ 220, sasa hiyo yako used inafikaje laki 8.5??
Siyo used, niminunua mwenyewe dukani, sema maisha yamenipinda ndio naiuza. Mtu huuza chake!!
 
Hio simu kali ila bei yako hapana, usawa huu ukipata laki 4 shukuru sana mungu!

Kitu kingine mjifunze wabongo ukinunua kitu kwa bei juu sana sio kigezo cha kukiuza bei ya karibia na mpya hata kama ulitumia siku mbili. Kitu kikishakuwa used hakina tofauti na nguo ya mtumba, bei huwa inaanzia kwenye nusu ya ile bei iliopo dukani so do the math bro!!!
 
Nimeikumbuka sana hii iliyokuwa simu yangu.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom