Msaada: Duka lenye jeans kali bei rahisi k'koo

Msaada: Duka lenye jeans kali bei rahisi k'koo

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
34
Jamani wana jamvi nahitaj kujua duka lenye kuuza JEANS nzuri KARIAKOO lakini bei zake si za kutisha!
 
good news ... tuwekee picha na bei
 
Pengine anataka kununua nyingi ili na yeye akauze ndo maana anauliza mbn mnaleta masihara mwenye kujua amjibu basi inatosha!
 
Sasa kaka hiyo levi's first ipo karibu na WOOL WORTH do you think bei zitakuwa siyo za juu wajameni!
 
Best jeans Tanzania na bei poa ni mtumba tu. Tafuta soko lolote la mitumba, Temeke highly recommended.
 
Haya sasa Temekeee sasa! Yani hata Karume haifui dafu!
 
Cheap = Low quality + short use of an item so go buy Chinese
 
nenda palae opp na kituo cha mwenge kko kwenye maduka ya urembo ingia ndani kuna kauchochoro pale ahh utapata kwa raha...bt y za dukan?umekua meku?


nenda karume babu ukitungua ya elfu 30 mkataba aichuji,kitu cha peke yake not like sale za kko ukinunua leo afta miez miwil kushnei

andaa laki 1 utapata jeans zako 4 ivi tulia..nxt mth andaa laki ya matshet ya ukweli ..nxt mashat...nxt viatu...BOKSA SI MUHIMU SANA

nenda mtumbani..karume,mchikichin,tandika au km vp kko kwenye mabanda
 
Back
Top Bottom