Plot for sale in Upanga Dar es Salaam

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
3,188
2,219
Plot inauzwa ipo Upanga

Ni ya pili kutoka beach

Size 1700 SQM

Bei 450,000/= USD

Maongezi zaidi njoo WhatsApp no +255756060183

Karibu kwenye ukulasa wetu wa Instagram kwa mahitaji ya nyumba za kuuza na Kununua, Viwanja vidogo na vikubwa, industry plot, mashamba, nk

Dovillen_property_consulting

IMG_20200131_001909_054.jpeg
IMG-20200130-WA0019.jpeg
IMG-20200130-WA0020.jpeg
IMG-20200130-WA0021.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rusha location tukajionee wenyewe kwanza mtandaoni.
Nadhani ni lazima nyumba iwe imevunjwa. Kinyume cha hapo ngoja tusubiri.

Kama ni kwa nyumba ya kuishi tu bado ni ghali, labda iwe ni kwa ajili ya kujenga jengo la kufanyia biashara.
 
Nadhani ni lazima nyumba iwe imevunjwa. Kinyume cha hapo ngoja tusubiri.

Kama ni kwa nyumba ya kuishi tu bado ni ghali, labda iwe ni kwa ajili ya kujenga jengo la kufanyia biashara.

Kwa pembeni kuna apartments, inaonyesha ndicho anafikiri mteja atataka kujenga. Tabu wauzaji hawajali ya hewa etc wao pesa tu.

Pia kuna mkakati wa wizara ya Ardhi juu ya umiliki wa viwanja now, so ni mtu kuwa makini sana. Kuona documents zote muhimu na kufanya research ya nguvu kwa kurudi nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom