Kwa mahitaji ya umeme wa upepo

Kwa mahitaji ya umeme wa upepo

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Kwa mahitaji ya umeme wa upepo kwa matumizi ya nyumbani,mashambani na viwandani gharama ni kama ifuatavyo

Watt 100 700,000/-
Watt 200 1,300,000/-
Watt 300 1,600,000/-
Watt 500 2,000,000/-
Watt 600 2,400,000/-
Watt 700 2,700,000/-
Watt 800 3,100,000/-
Watt 900 3,300,000/-
Watt 1000 3,700,000/-

Kwa mawasiliano zaidi piga 0629068815

LIB company
 
Japo umeweka namba lakini naomba kuukiza hapa hapa kwa faida ya wengi, hizo gharama ni pamoja na vifaa au.. Pia swali lingine kila site ina support installment mfano nina shamba langu somewhere lakini upepo sio guarantee sana je hizo turbine zitafanya kazi kweli, kama utaamua kunijibu naona unipe na % za hizo turbine kufua umeme sehemu ambazo hakuna upepo wa kutosha
 
1.Pamoja na vifaa hizo watt zilizo andikwa ni katika umeme wa AC
2.Turbine technology inayotumika ni ile inayo support kasi ndogo ya upepo turbine aina ya A vertical-axis wind turbines (VAWT)

Atleast upepo ufike 1.5m/second kwa masaa 6 kati ya 24

Pia tuna funga mfumo wa reserve power banks ambazo zinatumika tu siku ambayo kiasi cha umeme kimekuwa below avarage.

Karibu kwa maswali zaidi.
Japo umeweka namba lakini naomba kuukiza hapa hapa kwa faida ya wengi, hizo gharama ni pamoja na vifaa au.. Pia swali lingine kila site ina support installment mfano nina shamba langu somewhere lakini upepo sio guarantee sana je hizo turbine zitafanya kazi kweli, kama utaamua kunijibu naona unipe na % za hizo turbine kufua umeme sehemu ambazo hakuna upepo wa kutosha
 
Watts 100 naweza kutumia vifaa gani, mfano tv, radio, taa nk?
 
Hiyo watt100 inakua ndio moja kwa moja au kila baada ya muda matumizi yanakwisha
 
Hiyo watt100 inakua ndio moja kwa moja au kila baada ya muda matumizi yanakwisha

Moja kwa moja endapo upo ndani ya wattage husika kifupi usizidishe wattage muda utapungua.Karibu
 
Hii habari ni njema, je suala la ufungaji ni lenu au mteja? Kwa mfano mikoani.
 
Kwa mahitaji ya umeme wa upepo kwa matumizi ya nyumbani,mashambani na viwandani gharama ni kama ifuatavyo

Watt 100 700,000/-
Watt 200 1,300,000/-
Watt 300 1,600,000/-
Watt 500 2,000,000/-
Watt 600 2,400,000/-
Watt 700 2,700,000/-
Watt 800 3,100,000/-
Watt 900 3,300,000/-
Watt 1000 3,700,000/-

Kwa mawasiliano zaidi piga 0629068815

LIB company
Mkuu nitafusilie hiki kipimo cha upepo shambani kwangu kwa kulinganisha na mahitaji ya hizo mashine zako hasa watt 1000 "Wind Speed: 3.78 mph "
 
Hii habari ni njema, je suala la ufungaji ni lenu au mteja? Kwa mfano mikoani.

Huu mtambo unajengwa hivyoni lazima wafungaji tuwe sisi wenyewe.Gharama za usafirishaji kama upo nje ya Dar,Morogoro zitaongezeka kulingana na mkoa uliopo ila gharama za mradi ni hizo hizo
 
Mkuu nitafusilie hiki kipimo cha upepo shambani kwangu kwa kulinganisha na mahitaji ya hizo mashine zako hasa watt 1000 "Wind Speed: 3.78 mph "
Sijakuelewa hii 3.78mph ndiyo speed ya upepo katika site yako?
 
kifaa changu kina watt 500 nataka kutumia masaa 24 ipi itanifaa
Kama utakua una run full load kwa saa zote 24 Funga ya watt 1000 ambayo itakua inafanya auto switching za reserve bank hasa kipindi ambacho upepo unakuwa mdogo sana.
 
Back
Top Bottom