Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Redmi Note 7 Blue. Brand New Sealed and straight From Xiaomi Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 6 GB 6.3'' inch display Line...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
DELL Monitor 19inch square USED it's support VGA, DVI-D and USB 2.0, we located at magomen mikum, price Tsh 90000. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Habari zenu wakuu, Nina shamba la mpunga Nzega vijijini, nategemea kuanza kuvuna mwezi wa tano. Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Tabora naomba tuwasiliane tufanye kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Ninahitaji mizani kwaajili ya kupima uzito wa magunia. Kwa mwenye uzoefu na mizani anisaidie gharama yake na jinsi ya upatikanaji wake.
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF Kwa mtu yoyote ambaye yupo Liwale please natafuta nyumba ya kupanga ya kifamilia, iwe standard 2 rooms (1 master na 1 kawaida) sitting room na jiko. Anaefahamu please ani-PM Sent...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ibn kimweri enterprises Una bidhaa ya chakula au viungio vya chakula unahangaika kupata soko la uhakika karibia kwetu tukuuzie kwa haraka Tunapokea kazi zote za kudeliver Tunapatikana Arusha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ibn Kimweri Eterprises Una bidhaa ya chakula au viungio vya chakula unahangaika kupata soko la uhakika karibia kwetu tukuuzie kwa haraka? Tunapokea kazi zoote za ku-deliver Tunapatikana Arusha...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Pop staa Miley Cyrus ametoa Condom zake mpya zilizopewa jina 'She Is Coming' zikiwa miongoni mwa vitu vitakavyo uzwa wakati wa mauzo ya album yake mpya 'She Is Miley Cyrus'. Ukinunua Condom moja...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sio zile za kutumia na kutupa (disposable hizi unatumia kwa muda mrefu. Kama mko organised kiofisi, nyumba ama maskani tucheki. Kwenye boksi zinakaa 20 bei ni 150K. 0769509430 Tupo Makumbusho...
5 Reactions
83 Replies
10K Views
Habari, Ndugu zangu Mimi na magunia ya mahindi yapo 6500 ninaomba kwa ambae anajua sehem mahindi yalipo na Bei nzr . Ntashukuru Sana na Kama ikiwezekana mawasiliano yao niyapate ntashukuru sana
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wadau wa JF, natafuta mtu wa kuwa supplier wangu wa maembe kwa jumla, maembe ni kwa ajili ya juice hivyo yawe matamu (yenye sukari nyingi). Kwa anaefahamu mtu tuwasiliane 0756958798.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya, Mkuranga. Kata, Vikindu Kijiji, Kisemvule. Kitongoji, Mpera. Nyumba lilikuwa hasa kwaajiri ya makazi mana lina appartment 2, .….....ukubwa wa eneo mita 40 kwa 40...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau wa Generator, Nauza Generator niliagiza Japan bado Liko vizuri sana, hp 1500 KVA 1.5 Sababu ya kuliuza nimeagiza kubwa zaidi ya hili kama unalitaka changamka dukani bei yake ni 2m...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wananzengo. Ninahitaji banda la kukodisha la kufugia kuku wa kisasa. Ninataka kuanza na kuku 300 na kuendelea. Banda liwe na vifaa au bila vifaa. Ninahitaji kwa maeneo ya Dar es Salaam...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari! Nauza Dell Desktop: Processor: Duo HDD: 320GB RAM: 2GB Bei: 230,000 Tshs. Location: Kibaha, Picha ya Ndege Mawasiliano: 0752647796 Imetumika miezi miwili tuu, ina movies, nyimbo na mazaga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Price 1.25 Contact : 0672255842 Location : Sinza office i phone x 64 gb used from USA [emoji631]
1 Reactions
3 Replies
895 Views
Salaam wakuu. Fundi wa kunyoa nywele anahitajika Lyunga Mbeya. Yeyote mwenye utayari nicheki PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, M MGENI humu japo nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbali mbali kutoka kwa wanachama mbali mbali. nina swali kama kuna mtu au kampuni inayouza mashine za kufungia katoni (MF katoni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu, tafadhali mwenye updated prices za hizi pikipiki Boxer au TVS Engine CC. 125 kwasababu nimatumizi naomba anisaidie nataka kununua mojawapo mwisho wa mwezi na kwa hali ya Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nauza laptop Sony Vaio yenye hard disk storage GB 500 Ram 4gb Inafanya kazi fresh Shida yake: Ina shida ya case imekatika na baadhi ya keyboard buttons hazifanyi kazi, hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom