Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza 4g smart kitoch ya tigo ina miezi miwili toka niinunue nipo dodoma kwa anaeitaji aje pm lkn bei ni 25000 kumbuka nauza sababu ninashida simu ni nzima haina tatizo lolote. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KABATI NA UBAO WA KUTUNDIKIA NGUO Lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma. Ni kubwa na pana. Kabati Tsh 300000 Ubao umekatwa katikati Tsh 100000, maelewano yapo Nipo Dar Mbezi Beach Wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vipo Kisesa Mwanza, Vimeshapimwa na vina subiri utengenezaji wa hatimiliki ambapo mnunuzi ndo atakuwa wa kwanza kutengeneza katika kiwanja husika Bei ni million 2.7 kwa kila kimmoja Eneo...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello wadau wa JamiiForums Nina shida na ng'ombe wazuri wa maziwa wenye uwezo wa kutoa lita 20 za maziwa kwa siku kwa ng'ombe mmoja. Naomba msaada wa kujuzwa nitapata wapi. Pia nina uhitaji wa...
1 Reactions
39 Replies
13K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Tanga Urefu Mita 27 Upana Mita 22 Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum Bei Tzsh 3,700,000/= Maelewano yapo Mawasiliano 0765062114 Whatsap...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Nahitaji chumba Dodoma kuanzia maeneo ya chuo cha mipango (miyuji) mpaka usawa wa mnadani, bajeti yangu ni 50000 naweza kulipa mpaka miezi mitatu kwa kuanzia, ikiwezekana ainisha na sifa za chumba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Techint/Technical Intelligence; Katika istilahi za kiusalama neno Techint humaanisha intelijensia ya silaha na vifaa vingine vya kivita vinavyotumiwa na nchi zingine. Ili taifa moja liweze...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
TECNO POP 2F FOR SALE. 16GB ROM 8MP Front camera with flash Face unlock Fingerprint sensor, 12month warrant Almost new, imetumika muda mfupi P'se call 0653233987, 0767686874
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Habari zenu wana JF! Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari, Nauliza kama kuna mtu yeyote anajua wanapouza air pump ndogo ya volt 6-12 DC (umeme wa betri ya gari) naomba anijulishe 0674028267
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji chumba cha kupanga kuanzia maeneo ya chuo cha mipango mpaka mnadani bajeti 50000-60000,ikiwezekana ainisha na sifa za chumba hapa,natanguliza shukrani🙏
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dagaa wa matafuta kutoka ZIWA VICTORIA,TUPO MWANZA mikoani tunasafirisha buree kabsa . Mawasiliano yetu. 0755213580 Au whattsapp 0755213580. Kiasi kikubwa na kidogo tunauza.. Karibu sana mteja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za leo wakulima! Naomba mwenye mbwa wadogo kwa ajili ya ulinzi shambani anipe contacts zake nina uhitaji wa hao mbwa shambani kwangu. Nashukuru sana
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye laptop mpya anauza kati ya Lenovo t490 au Dell latitude 5300, Nahitaji. Specifications memory kuanzia 8GB, processor i5 au zaidi, SSD storage. Vingine vinazungumzika. PM au weka hapa kama...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Amani iwe kwenu wana jukwaa. Katika mwendelezo wa kuelimishana masuala mbali mbali ambayo kwa njia moja au nyingine yatachangia kuboresha zaidi maisha na maendeleo yetu, leo tumeona tuzungumzie...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mawasiliano call 0718436694 Majiko yote ni mapya kabsa full box hayaja tumika. Bei ni shillings Lak 140,000/= Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za humu ndani, viwanja vinauzwa vipo singida manispaa. Viwanja hivi vimepimwa bei ni kuanzia shilingi million 2 mpaka million 4 kulingana na ukubwa wa kiwanja. M² ni shilling 5,000 kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jipatie subwoofer aina ya mr uk bei elfu 92.000 ina warrant mwaka 1 inatumia bluetooth, memory card na flash, usd volume yake 30, kama upo nje ya mkoa wa Dar es salaam na unaitaji bidhaa nakuomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitanda 5/6na godoro lake Dodoma inchi 8, meza mbili za vioo, vinauzwa.kitanda na godoro tsh 220,000. Meza zote 90,000. Vinapatikana Gongolamboto kituo kipya. Simu.0652595942
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom