KWA MAHITAJI YA KUUNDIWA INVETER AU BOOSTER ZA MUZIKI WA NJE NA MATUKIO WASILIANA NASI.
AINA ZA INVERTER
SQUARE WAVE INVETER
1. Watt 300 Tsh 150,000/-
2. Watt 500 Tsh 200,000/-
3. Watt 1000 Tsh...
Hi all member,
Nimefanya utafiti wangu simple kwa ajili ya kujua biashara gani na weza kuingia na biashara hiyo ikawa na opportunity ya kukua (growth) kulingana na wateja niliowakusudia (target...
Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco...
Natumai mmpo wazima wote, poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Kuna nafasi 1 kwa fundi cherehani anaye tafuta sehemu ya kufanyia kazi. Sehemu ipo Buhongwa, ni garment ambapo kuna kaa mafundi 6...
Nauza vifaa mbali mbali vya mziki na studio(used)
Yamaha keyboard psr 443 = 450,000
bass Gitaa (ibanez sound) = 350,000
Studio mic (Tockstar) = 270,000
Studio Speaker (Alessis New)= 1,100,000...
Wale wote wanaohamia na kuanza maisha jijini Arusha, na pia kwa wenyeji ambao mnahitaji/mnatafuta CHUMBA, FREM ZA BIASHARA, NYUMBA NA VIWANJA, nitafute kwa huduma hizi.
0715365934/0784321716...
**UPDATE: Nashukuru nyumba imepatikana, Shukran kwa JF nimeweza kuokoa Sh 200,000 ambazo ningemlipa dalali.**
Kichwa cha habari chahusika. Iwe karibu na barabara, iwe mazingira rafiki kwa watoto...
2020. Nia x-2 headphones
-zina equalizer
-zina beat 3d base
-zina FM mode
-SD card reader
-zinakaa na charge 7 hours mpak 9
Free delivery kwa Dar es salaam
0683484606
Bei inapungua.
Sent using...
Habari za leo,
Nina vifaa vya kazi ya car painting na body work, Yani compressor ikiwa na pipe yake,na mitungi ya gasi na pipe na mikono ya kuungia.
Niliwanunulia watu wafanyie kazi lakini...
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach)
Bahari ya Hindi.
Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
Wadau naomba kuelewa naweza kununua injini ipi ikatulia vzr kwenye Toyota RAV4 j twin cam 3s G.E, ya uingereza cio japan, gari naipenda sana ivyo nataka nibadili injini niweke yenye Cc angalau...
Husika na kichwa cha habari apo juu.
Mimi ni mdau mkubwa wa mazoezi hasa ya kutanua misuli ,, gym.. but nimekuwa sina muendelezo mzuri wa mazoezi kutokana na kubwana na majukumu ya kikazi, hivyo...
Sanitizer zinapatikana jumla tu
Bei rahisi sana Tshs 4000
Ukichukua nyingi bei inashuka
Mawasiliano: 0652472486
Ongeza la hii bei limetokana na uhaba wa ethanol sokoni
Ukichukua nyingi sana bei...
Habari wadau,
Nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza...
Wakuu habari!
Naomba anayefahamu hiki kifaa cha kuitwa automatic soap dispenser anisaidie niweze kukipata, au Kama unauza Basi tujulishane.
Hiki kifaa ni automatic kwa ajili ya kunawa mikono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.