Plot4Sale Nauza shamba

famba 06

Senior Member
Dec 28, 2018
134
126
Nauza shamba nimepanda papai eka 1 na nusu,

Ukubwa wa shamba eka 5 maji yapo mengi, shamba lipo wilaya kisarawe njia ya chanika mwisho, shamba nimeng'oa visiki shamba zima, kuna kibanda cha bati tupu, pump, nimefunga bomba shamba, drip

Bei mil 45

IMG_20200317_125558_6.jpeg
IMG_20200317_110044_5.jpeg
IMG_20200111_090352_0.jpeg
IMG_20191101_112055_3.jpeg
IMG_20191101_112048_7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nilipoona hiyo milioni 45 nimeshtuka hadi nikahisi kizunguzungu...Any way, wenye mpunga mkuje pande hizi mkawekeze mpate mara dufu
 
Bei ikifikia milioni 10 nitafute na miche yako nakuachia mpk uvune mwenyewe au ntakuvunia sili hata moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom