makenze JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 356 Reaction score 217 Mar 27, 2020 #1 Wapi yanapouzwa yale kwa hapa mjini ndugu zangu..mjini daslam. Yale water proof Mara nying yana rangi ya blue au kijani. Msaada
Wapi yanapouzwa yale kwa hapa mjini ndugu zangu..mjini daslam. Yale water proof Mara nying yana rangi ya blue au kijani. Msaada
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Mar 27, 2020 #2 Mbona yapo maduka mengi tu, yanauza,.