Land rover for sale

mayome

Member
Jan 17, 2012
62
21
Habar Yako mwana Jamii

Land Rover 110 cc 2500 ya mwaka 1998 imetembea umbali usiozidi kilometer 250,000. inauzwa kwa bei ya Tsh. Million saba na nusu (7,500,000/=)

Sasa nimeweka picha kwa wale waliokua wakihitaji picha wanaweza kujionea. pia unaweza kuja kuona gari yenyewe ipo mburahati jijini Dar es salaam.

Ikikupendezea tuwasiliane kwa simu +255713500504, email address: georgemathayo570@yahoo.com au unaweza kutuma private massage.

NOTE: Dalali hatakiwi na wenye utani pia wasiulete hapa.
 

Attachments

  • PICTURE 20001.pdf
    385.9 KB · Views: 204
  • PICTURE0001.pdf
    757.5 KB · Views: 145

Similar Discussions

Back
Top Bottom