Pata mabati imara kwa bei nafuu

Feb 7, 2019
25
45
Karibu Yalin global limited tuliopo dar es salaam tabata matumbi ,tunauza mabati aina zote,square pipe na misumari kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0689008719 na WhatsApp namba 0672087564.
IMG_20190111_131259.jpeg
IMG_20190111_131203.jpeg
IMG_20190111_131212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,320
2,000
dah milioni mbili na nusu kwa bati moja,,kwani yana bluetooth?
 

GPP1922

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
307
250
Kwani ukitaja mf.
Bati 1-12 ni tsh 1000
bati 13-50 Ni tsh 750
Bati 51-100 ni tsh 500
Bati 100+ ni tsh 250 kuna shida gani mteja ataelewa na kujipima na kulinganisha na za mtaani kwake atasave kiasi gani ili aje achukue mzigo. Kuliko kuja pm
 

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,495
2,000
Karibu Yalin global limited tuliopo dar es salaam tabata matumbi ,tunauza mabati aina zote,square pipe na misumari kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0689008719 na WhatsApp namba 0672087564. View attachment 1015723 View attachment 1015724 View attachment 1015725

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi bati zako kama hazitoki kampuni ya ALAF Limited basi tupa kule hazifai, ndani ya miezi michache baada ya kupaua tegemea hiyo rangi kufubaa.

nb: Sina lengo la kuharibu biashara ila hela ni ngumu kwa hiyo sipendi nione watu wanaumizwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom