Hebu weka picha niwe dalali.Kama nzuri utapata 5m na mimi nitakula 8m.Nitaipeleka Naivasha hapo kenya.
hizi gari unaijua au unaisikia? hiyo bei aloweka ndo bei ya mtaani, INAITWA LANDROVER a.k.a mandolin gari ya kijerumani,
We mrembo mandolin ya nini una mifugo?Ipo wapi mkuu....naihitaji....
We mrembo mandolin ya nini una mifugo?
Miamia membo aminia!Adventure mkuu......stelingi za kupangusa zina wenyewe.,,,..
Huyo kwenye avatar ni wewe?Umechang avatar nilii penda sana