Wakuu kwema?
Naomba kuuliza Kwa wenyeji wa Dodoma Kama Kuna kampuni ya kusafirisha mizigo (pikipiki) kutoka dodoma hadi Mbeya.
Au kwa wazoefu wa dodoma huwa mnasafirishaje mzigo toka Dodoma hadi...
UNGA MPYA MJINI ARUSHA
Tunawakaribisha wauzaji , wasambazaji na wadau wote. Wasiliana na sisi ile kupata fursha hii. Unga wetu ni mzuri, tamu sana na yenye viwango vya TBS.
Bei za Jumla:
25kg ...
Habari za mchana,
Samahani kwa usumbufu. Nilikuwa naomba kama mtu yeyote anayejua kama kuna nyumba ya kupanga ipo naomba anijulishe
Location: Buza
Bei: 150k
Nyumba iwe na vyumba viwili, sebule...
Kwa mtu yoyote anaehitaji kununua vitu
1. Kitanda 5/6
2.godoro 5/6
3.vyombo vya ndani
4.gesi
5.shelf ya kuwekea nguo
Nipo iringa semtema. Bei ni 300,000 vyote
Habarini wadau,
Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo...
TUNASAFIRISHA MIZIGO KWENDA NJE NA NDANI YA NCHI
Karibu Kwa Huduma ya Kusafirisha Cargo Kwenda Nchi za Nje na Ndani ya Nchi
Tunasafirisha Kwenda Mikoa Yote ya Tz Bara na Nchi za Nje Kama
-Kenya...
Kuelekea Pasaka na Eid wakazi wa Dar free delivery- Tupo Temeke kwa Azizi Ally au Ilala bungoni au Temeke hospitali
Super Tsh 2,000
Mzuri Tsh 1,800 ila harufu ni ile ile ya mbeya
Wastani Tshs...
Hi
I am looking for a swahili tutor to teach my kids swahili. The person must be educated with good english and have use of a laptop for zoom lessons. They must be able to plan each lesson in...
Habari za leo wakuu!
Nijikite moja kwa moja kwenye Mada. Natarajia kuozesha binti yangu katikati ya mwezi wa Sita mwaka huu, nategemea kumfanyia Sherehe ya kumuaga-SendOff.
Nahitaji Ukumbi wa...
Wadau
Nina soko la nyama ya mbuzi nchi za nje kiasi cha tani 2 - 5 kwa wiki .Nina hitaji mtu anayejua juu ya upatikanaji wake ,gharama,kama kuna kiwanda cha uchakataji nk ......kama kuna mjuzi...
Zoezi la kufunga Submita hizi za PREPAY Hizi ni Mita Binafsi Ambazo ni maalumu kabisa kwa wale Watu wanaotumia mita moja ya LUKU zaidi ya mtuu mmoja limekamilika
Faida za hii Mita nikwamba owapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.