Gari ipo katika hali nzur xn na imetumika miez michache xn tz,ni model ya 2008,vvti eng,55k milleage,1490cc,na ni fully duty paid,bei yake 23m maongez kidg,piga 0768359292/0678224427
2016 kwa DFZ ilikuwa ni miezi michache ndio, au hujaona alipost lini? Kipindi hicho nilisajili gari tako la nyani DFU dec 2015 kwa bei hiyo kipind hicho tako la nyani ilikuwa hugusi. Ila sasa hiyo ist ni mil kumi na .....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.