Plot4Sale Plot for sale at Kwembe - Luguruni price 4.5 mil

The mgusi

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
210
428
Ukubwa wa kiwanja:

Kaskazini mita 8

Kusini mita 27

Magharibi mita 21

Mashariki mita 35

Kiwanja kipo kwembe ,kituo cha mabasi luguruni ( kwa mkuu wa wilaya ubungo) ,njia ya kuelekea ofisi ya mkurugenzi manispaa ya ubungo.

Umbali wa km 3 kutoka morogoro road .

Price 4,500,000/= (negotiable)

Contact for serious buyer - 0692450861.

IMG-20210504-WA0024.jpg
 
Binafsi sijaelewa vipimo, hizo ni sawa na sqm ngapi?
 
Kiwanja kinauzwa mapwe pande
Sqm 600,umeme upo
Bei 5m
0736770052 kwa maelezo zaidi
Kuna wenyeji wanaishi hapo wamejenga tayari ambao wameuziwa na mwenye eneo manake ni eneo moja,na zilizobaki ndo hizo sqm 600
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom