Wapi naweza pata maboksi ya kufungia bidhaa?

Wapi naweza pata maboksi ya kufungia bidhaa?

muhinda

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
348
Reaction score
237
Habari za kazi.
Wapi nawezapata maboksi mapya not used. Nipo Dsm
Natanguliza shukrani
 
Kuna kampuni inaitwa the box IPO maeneo ya Banda la ngozi nyerere road inajishughulisha na utengenezaji wa vifunganishio vya maboksi, ukifika hapo utafanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom