Canon powershot 540
Ina 20.3 mega pixels
Inatumia wifi
Inapiga picture hd mnoo
Inaweza kuchukua video
kaliInakuja na betry 2
Charge
8gb memory
Bag lake
Nataka 380k
0623953036 whatsapp/calls
Kama mmiliki mdogo wa malori ya biashara, uwezekano mkubwa umejiuliza, "Ni saa tisa jioni. Nashangaa malori yangu yako wapi sasa hivi? ” Ukiwa na ufuatiliaji wa GPS, hauitaji tena maajabu, na...
Ni mdada. Niko Dar maeneo around Ubungo Terminal.
Nafua kwa mkono.
Eneo nilipo maji yapo mengi ya Dawasco massa 24
Nahitaji nguo nyingi kwa mkupuo. Hata kama jeans 20
Malipo ya chini ni 10,000...
Habarini wapendwa karibuni fried dagaa kutoka Mwanza dagaa watamu hawana uchungu wala mchanga kwa bei rafk sana karibuni.
Container dogo 2500
Container size ya kati 5000
Size kubwa 10000...
Call/whatsapp 0656 666 662
Radio mpya ya gari touchscreen inch 7
-inasupport Bluetooth
-inasupport mirrorlink
-inasupport usb,memorycard
-inaplay music na video kwenye flash
-ina support channels...
Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector...
Vitabu; 1. Mke Wangu Nusu Mtu, Nusu Jini. 2. Robo ya Watu Dar ni Misukule. 3. Godoro la Mitumba. 4. Mwanamke Kabla Hajaolewa Awe Ametembea na Wanaume Wangapi? 5. Mjini Msingi Kiuno. 6. Mama Yangu...
Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF,
Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana...
Hp Corei7
Ram 4gb
HDD 500
Charge 4hrs
Bei 480000/=
WhatsApp 0684190026
Ipo Mwanza.
Nimenunua mwaka Jana September.
Haina tatizo lolote nauza kwasababu siitumii tena
Edit: SOLD 🚫🚫🚫🚫
Karibu nikuhudumie.
Ninatengeneza Logo kwa gharama nafuu mno, kuanzia Tshs. 20,000/=
Business Cards kwa Tshs. 20,000/=
Pia Nina design Stickers, Banners, Rollups, Labels, etc.
Ninafanya TV...
Habari zenu ndugu
Nauza viwanja viwili vipo dodoma cha kwanza kipo mahungu eneo la mnada mpya njia ya kwenda singida kimepimwa kina full document ukubwa wake ni km nusu heka (viwnja vya zaman...
Kwa wale wauzaji na waandishi wa vitabu na ebooks...tumia fursa hii kujisajili kuweza kuuza vitabu /ebooks zako ONLINE kupitia www.mobbishop.com
Kama wewe ni mwandishi/muuzaji wa vitabu vya...
PRICE: 8,000,000 (maongezi yapo)
Model: Toyota HARRIER Lexus
Registration Number: A....
Colour:Silver
Engine: Petrol 2994cc VTI
Year 1999
Seat Capacity 5
Music redio
Full AC
Full documents (File)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.