Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 40 kilichopo Mabwe Pande DSM kinauzwa bei TZS 7M na umeme upo karibu na kiwanja. Napatikana kwa 0736770052.
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Ni mpya nimeitumia mwezi mmoja, Ina watts 30 Fully water proof Battery yake inadumu saa 12 Ni HIFI PORTABLE SPEAKER Ina extended treble and bass Bei yake ni 450'000/= namba yangu ni hii 0712106223...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba.. Aliye tayari tafadhari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eneo: Skaska( Kituo Kimoja kabla ya Kufika Tegeta) Uelekeo: Umbali wa dakika 7 kwa kutembea Kutoka kituoni Bei: Tshs 200,000 Kwa Mwezi Malipo: Miezi 6 Ina Chumba Kimoja, Sebule, Choo ndani na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini , Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga...
3 Reactions
52 Replies
20K Views
Na pata tabu kuchaji simu yangu iPhone 6s sehemu ya kuchajia imetanuka msaada wakuu
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf, Jamani mwenzenu nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi kutoka mikoa ya kati kuja dar, wenye uzoefu naomba mnisaidie kufahamu soko la Mbuzi yaani bei yake kwa wastani pamoja na...
1 Reactions
12 Replies
12K Views
Mfukoni nina 300,000/=. Nikijipiga sana, naweza ongeza ikafika 350,000/=. Nahitaji flat screen inchi 32, naombeni msaada wa vitu viwili: 1. kwa bajeti hiyo nitapata TV ya inchi 32? 2. kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Karibu upate Kisimbuzi (decoder) Cha Startimes Cha dish kwa 79,000 tu. Unapata mwezi mmoja bure. Kifurushi kikiisha bado utaendelea kutazama channel zote za nyumbani bure. Ukilipia Utafurahia...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Pata magazeti safi kwa matumizi mbalimbali Tunauza kilogram 15 kwa shillingi 20,000/= Mkoani tunakutumia usafiri tutachangia kama utachukua kuanzia kilograms 1000 Wasiliana nasi kupitia namba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji830]Tv ina 20 inch screen, inasupport HDMI, Flash na AV cables (Bei 150K) [emoji830]Subwoofer ina support Bluetooth, FM radio, Flash, SD card na Aux (Bei 150K) [emoji830]Meza ni ya kioo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Sold
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Huu mradi haupo tena.
2 Reactions
132 Replies
17K Views
Mbinu hii ya 'Honey trap' pia hutumika katika kuwatafuta maadui wanaokimbia mkono wa taasisi ya intelijensia. Mfano Mordecai Vanunu (pihani - katikati) ni mmoja kati ya watu waliodakwa kwa mbinu...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nauza To link router kwa bei karibu na bure TP Link router 3G/4G wireless N Router brand New Ipo kwenye box lake Bei tsh 60000 Location karume Dar es salaam contact 0757870230
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Wapi naweza kupata Graphite Powder? Bei yake na pia wanauza kuanzia KG ngapi? Asante.
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Tunahitaji madalali kwa ajili ya kuuza malori yetu Fuso na Canter aina zote:-Tipper, cargo, malori ya maji Safi, malori ya maji taka, crane, Freezer na mengine. Tuna malori zaidi ya 60 Mwanza na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana jamvi, Nauza zana hizi kwa wenzangu wanaojihusisha na kilimo cha kumwagilia. Water pump 1 used 1 month. Koromeo 1 used 1 month (hii ina urefu wa mita 3). Na mpira wa...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Diesel Auto Ipo katika hali nzuri, inatembea. Ipo Dar es Salaam. Bei 17mil. Mawasiliano 0784225000.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu Nina shida na till ya M-Pesa kwa haraka. Documents zote zipo anayeweza kuni connect na mtu wa Vodacom akanifanyia kwa haraka basi ya maji haikosekani. Asanteni Sent using...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Back
Top Bottom