Habari waheshimiwa
Wataalam au wajuzi wa printer nina shida na Epson Printer kwa ajili ya kuprint DVD cover za HD picha so kwa anaejua naweza anza na printer ya aina gani hasa za Epson ambayo inaweza print cover hata elfu 15000 bila kuzingua zaidi ya kubadilisha wino, sababu my plan ikiweza kufanya hivyo ninunue heavy duty printer.
Msaada jaman please maana mwanzo mgumu sana, budget yangu ni under laki 7 kwa machine ya kuanzia kazi then baada ya mwezi nibadilishe printer.