Habari wadau wote humu.
Team nzima ya T shirt Garage Mabibo Hostel inawakaribisha wote humu, kwa mahitaji ya
Custom T shirt,
Wedding Handkerchiefs, Key Holders, etc
Posters,
Off set printing...
JE WAJUA?
Takwimu zime onyesha Miogo ni miongon mwa zao pendwa na lenye faida pia kibiashara Tanzanian na hilo bac inaonyesha Katika Hector moja ya miogo unawez ukatoa mashina 5000 ambayo faida...
Ndugu wadau karibuni, tunauza vifaaa vya magari, pamoja na mataa maalumu kwa daladala, CANTER, FUSSO, ROSSA, na other accessories za magari tofauti kwa bei nafuuu kabisa,
Jipatie bolt & nuts...
Natafuta Engine ya Subaru.
Aina ya subaru ni;
"Subaru cross sport SG5 turbo"
Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake.
Nipo dar es salaam
+255784355775
Brand New! Cisco Catalyst Switch 48Ports.
2 x 10 Gigabit Ethernet with SFP+ and 2 x 1 Gigabit Ethernet with SFP. Get your Quote Now with affordable Price in Town!.
Karibuni sana mjipatie magodoro ya kila aina safi yenye ubora uliohakikiwa na kupitishwa na TBS napatikana kinondoni biafra
Yapo magodoro yenye size mbalimbali kulingana na mahitaji yako na bei...
Tunauza vifaa vifaa vya umeme aina zote.Tupo Karia koo mtaa wa Swahili/Narung'ombe Dar es salaam.
Jipatie fen,bulb touch,switch,switch socket,pasi,waya,top plug,multi plug, extension,circuit...
Habari zenu wadau?
Nauza eneo la ukubwa wa square meter 7081.9
Lipo km 16 kutoka Mtwara Mjini.
Lipo umbali wa meter 860 kutoka bara bara kuu ya MTWARA-NEWALA.
Ni katika kijiji cha MDUWI.
Kuna...
Habari wakuu,
Ninapenda kuuliza, nasikia kuna mnada wa Mbuzi na Ng’ombe Jumamosi katika Mji wa Kibaha eneo linaitwa Loliondo
Napenda kujua upo sehemu gani hapo Kibaha.
Asante
C.c @mshanajr mrangi
Ndugu wa tegeta
Ndugu wa mbezi beach
Ngugu zetu wa Goba mupo
Chumba cha 50000
6 months na lipa
Wapangaji wasizidi wa 3
Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo
Gypsum
Tiles...
Specifications:: kiwe ndani ya geti, choo cha ndani, kiwe na mwonekano mzuri yaani kiwe kipakwa rangi ya cream au nyeupe,
Location: kuanzia maeneo ya tabata bima, mawenzi, hadi kimanga,au tbt...
Ndugu wa Tegeta
Ndugu wa Mbezi Beach
Ngugu zetu wa goba mupoo
Chumba cha 50,000/=
6 months nalipa
Wapangaji wasizidi wa 3
Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo
Gypsum
Tiles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.