Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kicha cha habari kivyosema, nimebuni mfumo mmoja wa kidigitali kwajili ya shule binafsi, natafuta mwalimu/walimu wa kushirikiana nao ili pige mchongo. Note; mwalimu razima awe anafanya kazi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hizi ni aina tofauti za simu aina ya OPPO unaweza angalia na kusafisha machoo.. Nimeangalia hadi zimenichanganya akili.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu natamani kununua hii gari Cc 2460 2DW. Naomba mwenye uzoefu nazo anisaidie katika upande wa uimara. Je naweza kuchukua toyota Brevis badala yake? Karibuni Kacharimbe
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale wazee wa kulenga njoo uchukue gari hii TOYOTA AXIO CC 1490 Namba BEE Haijawahi kupata ajari Haina shida yoyote ya kiufundi, mwenye mali ana shida kubwa na kimfaacho mtu chake BEI Milion 4.5...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, ninao mkaa mzuri sio mabua gunia lenye ujazo mzuri,bei Kama utaubeba mwenyewe toka maeneo ya kigogo gunia ni elfu 65/kama utahitaji nikuletee ndani ya dar gharama ni elfu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hatimaye Leo wakat naperuz humu jamvin nikakutana na huu utaratibu wakujiintrodyuz mim si mgen humu ingawaje ishu hii nimeijua Leo ni Muuza Viatu namaanisha km HV. Mungu ajaalie tuvumiliane...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Je, gari yako inatetemeka engine ikiwa ya baridi? Je, engine ya gari yako inamisi inapokuwa ya baridi? Je, gari yako ukiwasha inazima yenyewe mpaka uwashe mara kadhaa au uwashe na kupiga resi...
9 Reactions
58 Replies
14K Views
Wanabodi habari... Kichwa Cha habari chahusika Nina milion 2 tuu natafuta kiwanja dodoma eneo la msalato au veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Moja ya mambo muhimu katika ukuwaji wa biashara ni utunzaji makini wa kumbukumbu za biashara yako, kuanzia mauzo, matumizi, taarifa za stock uliyonayo, taarifa za madeni ya wateja, na repoti...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene majengo, kwene masoko, mahotelini, mahospitali, kwene vyombo vya usafiri, kwene...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
  • Closed
CC 1290 Year 2005 Price 9.8m (mazungumzo yapo) Call/watsap 0715140001
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama umeona series kama ITAEWON CLASS, MASK, K2 na HEALER basi kwa mbaaali utakuwa ushaanza kuhisi uzi huu unahusu nini. Yes! Ni Soju kinywaji chenye alcohol level ya 16.8% mpaka 53. 8% na chupa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya. MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Hiii sofa set inauzwa na meza yake kwa pamoja. KUHISU HIZI SOFA Jumla ni watu saba (7), yaan 3,3,1. pia ina cha kuwekea miguu Bei ni laki 8 vyote kwa pamoja na meza. Siuzi kimoja kimoja Ila...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kufanya biashara ya samaki eneo ni Kongowe Dar es Salaam Wawe na uwezo wa kutengeneza samaki wabichi, kukaanga samaki. Malipo hayatapungua 5000 na hayatazidi...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Suluhisho la Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme (LUKU) Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme . Ili kuepukana na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa mahitaji yako ya genuine shock absorbers za saloon and SUV cars na ufungaji na ushauri....PM kwa maelekezo zaidi
0 Reactions
66 Replies
16K Views
Linauzwa jiko la gas plate 3, Jiko ni jipya kabisa halijawahi kutumika. Mahali: Dar es salaam Bei: 220,000/= maelewano yapo. Karibuni. Mawasiliano 0688 055 606 au ni PM moja kwa moja
2 Reactions
1 Replies
981 Views
Back
Top Bottom