Suluhisho la Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme (LUKU)

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
439
500
Suluhisho la Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme (LUKU) Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme .

Ili kuepukana na migogoro hiyo karibu tukufungie mita hii uionayo kwani mita hii. Unaingiza umeme wako mwenyewe.na pindi umeme wao ukaisha kwako kunaendelea kuwaka na unaendelea na matumizi yako

Sifa za mita hii. Unanunia umeme wako mwenyewe na huchangishani tena na mtuu habari za umeme.

Utakapo nunua Umeme inakuletea Token mbili moja unaingiza kwenye mita kuu ya Tanesko na nyingine unaingiza kwenye hii mita yako . Baada yahapo ile mita ya Tanesko inazihamisha zile token kuzileta kwenye mita yako.kwaajili ya matumizi yako.

Pia ukihama una hamanayo kokote pale uendako.

Inakusomea kiasi cha unit ulizonazo na zile ulizo tumia

Inaonyesha viwango vya umeme vinavyo ingia na kutoka.

Gharama zake ni laki moja na elfu ishirini (Tsh.120,000) na ufundi ni elfu 30 tu

Nipo Dar

Ukiitaka njoo pm

IMG_20210601_185809_057.jpg
 
Handle

JF-Expert Member
May 12, 2020
228
250
Kuna guarantee ya uhakika wa hilo kabla ya malipo yyte mfano kufngiwa na kutest umeme zaid ya mara moja kuthibitisha vitu viwili umeme hautozima kama meter kubwa utamaliza pia ukinnua umeme utaweza kuingza token ama ukinnua unalipa unafungiwa tu hakuna test
 
sirmweli

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
1,474
1,500
Utakapo nunua Umeme inakuletea Token mbili moja unaingiza kwenye mita kuu ya Tanesko na nyingine unaingiza kwenye hii mita yako . Baada yahapo ile mita ya Tanesko inazihamisha zile token kuzileta kwenye mita yako.kwaajili ya matumizi yako.)

Hayo maelezo Yana walakini.
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
5,968
2,000
Utakapo nunua Umeme inakuletea Token mbili moja unaingiza kwenye mita kuu ya Tanesko na nyingine unaingiza kwenye hii mita yako . Baada yahapo ile mita ya Tanesko inazihamisha zile token kuzileta kwenye mita yako.kwaajili ya matumizi yako.)

Hayo maelezo Yana walakini.
Hii ni ngumu kumeza!!!
 
buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
439
500
Kuna guarantee ya uhakika wa hilo kabla ya malipo yyte mfano kufngiwa na kutest umeme zaid ya mara moja kuthibitisha vitu viwili umeme hautozima kama meter kubwa utamaliza pia ukinnua umeme utaweza kuingza token ama ukinnua unalipa unafungiwa tu hakuna test
nipe namba yako nikueleweshe vizuri
 
Handle

JF-Expert Member
May 12, 2020
228
250
Kuna guarantee ya uhakika wa hilo kabla ya malipo yyte mfano kufngiwa na kutest umeme zaid ya mara moja kuthibitisha vitu viwili umeme hautozima kama meter kubwa utamaliza pia ukinnua umeme utaweza kuingza token ama ukinnua unalipa unafungiwa tu hakuna test

Maelezo boss
 
buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
439
500
Utakapo nunua Umeme inakuletea Token mbili moja unaingiza kwenye mita kuu ya Tanesko na nyingine unaingiza kwenye hii mita yako . Baada yahapo ile mita ya Tanesko inazihamisha zile token kuzileta kwenye mita yako.kwaajili ya matumizi yako.)

Hayo maelezo Yana walakini.
nimechanganya ipo hv token utaingiza kwenye mita kubwa ya tanesco na mita kubwa ya tanesco itazihamisha kuelekea kwenye mita ndogo utakayochagua wewe

njia ya kuziamisha
kuna website ya mita ndogi hizo kipindi unajisajiri utaweka mita ya tanesco ambayo ndio main then utaweka sub mita zote zitakazofungwa kwenye mita ndogo hiyo

then kazi ya kuhanisha itakuwa easy kabisa
 
Na je ikiwa mtu amenunua umemfungia na haifanyi kaz kama ulivosema unarudsha pesa ama unaweza kua na mkataba ambao umfungie baada ya kutest ndio mtu analipia inawezkana
 
buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
439
500
Na je ikiwa mtu amenunua umemfungia na haifanyi kaz kama ulivosema unarudsha pesa ama unaweza kua na mkataba ambao umfungie baada ya kutest ndio mtu analipia inawezkana
haijawahi kutokea jambo hilo na halitakuja kutokea jambo hilo
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,390
2,000
Na je ikiwa mtu amenunua umemfungia na haifanyi kaz kama ulivosema unarudsha pesa ama unaweza kua na mkataba ambao umfungie baada ya kutest ndio mtu analipia inawezkana
Swali hapa ni kwamba tanesco wao wame"endorse " hii kitu???

Manaake sio rahisi tu uhamishe token toka mfumo wa tanesco kwa kutumia website upeleke kifaa kingine

Nimeshaziona kwa nchi nyingine ila kwa hapa Bongo sijui kama TANESCO wamekubali huu mfumo
 
Handle

JF-Expert Member
May 12, 2020
228
250
Swali hapa ni kwamba tanesco wao wame"endorse " hii kitu???

Manaake sio rahisi tu uhamishe token toka mfumo wa tanesco kwa kutumia website upeleke kifaa kingine

Nimeshaziona kwa nchi nyingine ila kwa hapa Bongo sijui kama TANESCO wamekubali huu mfumo

Ngumu kumeza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom