Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

Mhigomkami

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
1,272
Reaction score
934
Kwa mahitaji yako ya genuine shock absorbers za saloon and SUV cars na ufungaji na ushauri....PM kwa maelekezo zaidi
 
Shock absorber (shokamzoba) za nyuma zote mbili za gari aina ya toyota vista unauzaje?
 
Kwa mahitaji yako ya genuine shock absorbers za saloon and SUV cars na ufungaji na ushauri....PM kwa maelekezo zaidi

Weka namba yako ya simu wazi tu, biashara ni huria.
Mi nauliza kams unazo za Nissan Patrol(safari) 1998.
 
piga simu 0769347655 au email csteven1980@yahoo.com kwa mawasiliano. Shock absorbers ni za gas, superb quality. Naomba kimojawapo ya hivi vifuatavyo:

1. Nipe chasis number ya gari ile iko ndani ya bonnet au
2. leta part number ya zile zilizoisha.
 
Nauza used spare parts yeyote ya magari ama spare parts mpya,iwe engine mpaka kitu chochote,ila kwa makubaliano maalum,iwe bmw,volkswagen,range rover,merecdes,jeep etc.kwa aliye na mahitaji anaweza ni pm.
 
Kaka utasaidia.sasa jeep wrangler ntaishusha huko
 
Mheshimiwa weka namba za simu utawapata wateja wengi.
 
Inawezekana kaka,nissan lakini haina spare nyingi bongo?
 
Nissan Lucino Sr 18 engine, nataka cross joint, shockups na diff yake4wd
 
engine na gear box carina e 7A FE ya UK unayo? Na sh ngap?
 
naombeni mni pm kwa yeyote mwenye kuhitaji,hapo juu nitawajibu muda sio mrefu
 
Mkuu umefanya jambo la mbolea kujitokeza kunako maficho yako unakouzia spare na kuja kwenye mwanga kuwasaidia madereva na wasukuma mikebe wote wa pande za yuropa.
Ngoja tujipange tuje unajua hizi Polo na Golf zinasumbua sumbua sana spare zake hapa kitaa
 
Mwenye Nissan Lucino nipe Chasis no.na ya mwaka gani?5 or 4 doors?Mwenye Polo-volkswagen nasubiri nikusikie
 
Wadau naomba msaada mahali wanapouza vipuri na kufanya service ya Magari aina ya Benz na BMW kwa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom