Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Suluhisho la Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme (LUKU) Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme . Ili kuepukana na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa mahitaji yako ya genuine shock absorbers za saloon and SUV cars na ufungaji na ushauri....PM kwa maelekezo zaidi
0 Reactions
66 Replies
16K Views
Linauzwa jiko la gas plate 3, Jiko ni jipya kabisa halijawahi kutumika. Mahali: Dar es salaam Bei: 220,000/= maelewano yapo. Karibuni. Mawasiliano 0688 055 606 au ni PM moja kwa moja
2 Reactions
1 Replies
981 Views
Habari, autogas tanzania ni kampuni ya kufunga gesi kwenye magari, tunatoa hiyo huduma kwa uber kwa awamu tatu , Autogas inasave 60% gharama za mafuta 150-200km kwa 15,500/- Call 0626151427 Whstp...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi Karibu tukuhudumie...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta taa za LED najua maduka nayoweza pata kwa reja reja ila ningependa kama ningeweza pata in bulk kwanzia piece 50..bei nayo iwe rafiki kidogo. Taa nazohitaji ni ceiling lights za 6Watts...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3. Msaada tafadhali wapendwa.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nataka kufanya biashara ya Saloon au Barber shop, natafuta anayeuza viti na vifaa vingine. Nipo tayari kwa biashara kwa haraka sana. Nipo Dar. Mawasiliano: 0622686575
1 Reactions
9 Replies
2K Views
shamba linauzwa liko katika kijiji cha Msowero, kata ya Msowero, tarafa ya Magole, wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro. 1. ukubwa wa shamba ni Ekari 47. 2. Shamba liko kando kando ya mto MSOWERO 3...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau fursa hii tushikirikiane. Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu Wewe uwe na shamba...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya Vipo mwanza...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wote wa riwaya za gwiji, mwenyewe Ben Mtobwa, sasa tunakuletea kitabu chake cha LAZIMA UFE JORAM na NYUMA YA MAPAZIA. Pia katika mlolongo wa vitabu hivyo, utaweza kujipatia nakala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tupatie maelezo zaidi kuhusu bei,kodi,usafiri tafadhari
1 Reactions
84 Replies
30K Views
Ndugu wana JF Kwa wale wote wanaohitaji kutengenezewa system or Applications mbali mbali kwa ajili ya shughuli binafsi, Business ama projects nipo kwa shughuli hizo. Wenye mahitaji hayo wanaweza...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Mahali: Mbezi Beach Makonde, Kodi ya Mwezi: Tshs 120,000 Malipo ya Miezi: 3 au 6 Ipo karibu sana na kituo cha daladala, dakika moja upo kituoni. Maji ya bomba/dawasa masaa 24, Uzio na geti...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Infinix Hot 8 Lite Model: infinix X650 XOS version : XOS v4.1.0(O-P86-190731) Android version 8.1.0 Android security patch level : August 5, 2020 Device info CPU Core Count 4 CPU Frequency...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam Sana wakuu, Naomba kujuzwa ni utaratibu gani serekali inatoa kugawa hizi chanjo na mifugo? Nina ngombe nahitaji wachomwe chanjo za ECF (East Africa fever). Nimeshaulizia madaktari kadhaa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anae uza mashine ya kutengenezea pipi au anae jua wapi nitapata mashine ya kutengenezea pipi. Funguka please. With much thanks in advance
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Solved
0 Reactions
7 Replies
798 Views
Back
Top Bottom