Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kicha cha habari kinavyosomeka mwenye nayo mbegu hiyo ya hass anielekeze nimachukye fasta.
0 Reactions
10 Replies
698 Views
Habari wanajamvi karibuni kwenye threat hii, Noble Real Estate ni wauzaji wa mashamba na viwanja waliojitika hasa katika jiji la Dar es Salaam na Pwani. Viwanja vyetu vimepimwa na vinatambulika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Get fresh whole chicken/Cutups
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wakuu, naomba kuuliza wapi naweza pata hizi mizani vidogo digital scale na wanauza kwa Tsh. ngapi na je zinaweza kuwa na soko maeneo gani?
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Habari wakuu nauza gari yangu nina emergency haina tatizo lolote wala haijawahi kurudiwa rangi. Bei 10.3 maelewano yapo kidogo Mwaka 2004 Millage-99288 Cc 1790 Colour- black Inapatikana Dar es...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Make: Toyota Model: ToyoAce Capacity: 1.25 Tons Type: Pick Up Gear: Manual, 5 Gears Mileage: 197,211Km Bei: Tshs 11,500,000 Mahali ilipo: Dar es Salaam, Mbezibeach Vibali vyote vimelipiwa, gari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
VANGUARD PROMAX 7500EA GENERATOR Runtime 7hrs 05min 14Hp V-Twin Vanguard Engine Rated Power (COP) 6.0KW Equiv Max (KVA) 7.5KVA Rated Voltage 230 V- Rated Current 26A Rated Freg 50Hz/1.0 Mass /IP...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kilio kikubwa cha watu kwa sasa ni pengo kati ya matajiri na masikini kuzidi kuwa kubwa. Matajiri wanazidi kuwa matajiri huku masikini wakizidi kuwa masikini. Ni hali...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Dear JF members, Greetings from WLC. We asked for an opportunity to come and provide you with education regarding the logistics hassles; mainly importation and exportation of goods or services...
1 Reactions
0 Replies
812 Views
Natafuta annoiting water ya TB Joshua wadau naomba mnisaidie kwa hili....[emoji848]
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611. Kipaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bidhaa zote zipo ktk hali nzuri ZIlikuwa zinatumika ofisini Bei ni laki 7 tu Kwa mhitaji tuwasiliane kwa namba 0625825641 Karibuni sana
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Leo nawaletea offer nzuri kabisa. Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu. Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jipatie mifumo kwa gharama nafuu na Elimu bure matumizi ya kompyuta. Karibu Gangilonga LTD tunapatikana neema craft iringa. Pia, tunatengeneza mifumo kutokana na mahitaji ya mteja au taasisi...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Habari! Kuna wazo ninalo ila nataka kuliwasilisha kupitia cartoon ya muda wa dk 15-30 ningependa kujua gharama zake ili niweze kujua gharama zake.
1 Reactions
1 Replies
645 Views
Zipo mjimwema mtaa wa kibugumo. Zipo za vyumba viwili kimoja master bedroom sitting room jiko na public toilet. Bei laki 350 chumba kimoja master bedroom sitting room jiko Bei laki 250...
1 Reactions
1 Replies
576 Views
Kiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara. Zingatia isiwe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
CPU ya Dell 380 ,HDD 320, Ram 2 gb , processor Duo inauzwa 220,000, imetumika miezi mitatu tu inapatikana Katoro, Geita Call 0716495945
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu Kwa aaneuza kabati kama hili aniuzie, nalihitaji
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zangu wapendwa, nawasalumu nikiwa naanini kuwa wengi mu wazima wa arya njema sana. Dhumuni la uzi huu, ni kuwaombeni mnisaidie niinuke. Waswahili husema kupeana ni kikoa, na hisani huanzia...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom