Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie mifumo kwa gharama nafuu na Elimu bure matumizi ya kompyuta. Karibu Gangilonga LTD tunapatikana neema craft iringa. Pia, tunatengeneza mifumo kutokana na mahitaji ya mteja au taasisi...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Habari! Kuna wazo ninalo ila nataka kuliwasilisha kupitia cartoon ya muda wa dk 15-30 ningependa kujua gharama zake ili niweze kujua gharama zake.
1 Reactions
1 Replies
645 Views
Zipo mjimwema mtaa wa kibugumo. Zipo za vyumba viwili kimoja master bedroom sitting room jiko na public toilet. Bei laki 350 chumba kimoja master bedroom sitting room jiko Bei laki 250...
1 Reactions
1 Replies
576 Views
Kiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara. Zingatia isiwe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
CPU ya Dell 380 ,HDD 320, Ram 2 gb , processor Duo inauzwa 220,000, imetumika miezi mitatu tu inapatikana Katoro, Geita Call 0716495945
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu Kwa aaneuza kabati kama hili aniuzie, nalihitaji
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zangu wapendwa, nawasalumu nikiwa naanini kuwa wengi mu wazima wa arya njema sana. Dhumuni la uzi huu, ni kuwaombeni mnisaidie niinuke. Waswahili husema kupeana ni kikoa, na hisani huanzia...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
0 Reactions
2 Replies
3K Views
RAM zinauzwa kama zinavooneshwa kwenye picha hapa chini zipo za 2gb na 4gb jumla zote zipo 4 chukua zote kwa 100k ni nzima na zilitumika kwenye computer za kufundishia kwa muda tuu bei zake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Giant's pro Electronics niwataalam wenye weledi na uzoefu katika malekebisho ya vifaa vinavyo tumia umeme tunafanya kazi popote tutakapo hitajika na kazi zetu ni za uhakika na uaminifu mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
Habari za leo marafiki, Kwa wale wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi au kupokea kutoka nje ya nchi karibuni. Natoa huduma ya kutuma na kupokea pesa nje ya nchi (UK, US, na CHINA) kwa njia ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
JINSI YA KUONDOA TATIZO LA BOOST UNAVAILABLE KWENYE FACEBOOK Siku hizi watumiaji wa Facebook haswa kwenyemasuala ya matangazo (sponsored ads) Kwenye Pages Hukumbana na tatizo la BOOST UNAVAILABLE...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwenye maswala ya mahesabu kwa programu hii iliyotengenezwa kwa lugha yetu ya KISWAHILI. Programu hii ni mahususi kwa biashara yoyote ambayo muuzaji au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jf napenda kuwatangazia kwamba nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 / XL 250. Hivyo kama kuna mtu anauza pikipiki yake naomba tuwasiliane. Bajeti yangu ni Tshs 548,590/= Nb =...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilieleza hapa kuhusu kusikitishwa kwangu na kasi ya mtandao wa airtel baada ya kwenda dukani kwao kununua line yao tena nikapewa 4G na zawadi ya GB 4 za internet alafu ikawa...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Canon Sigma 70-300mm f/4-5.6 DG Macro Telephoto Zoom Lens for Canon SLR Cameras Condition: Used Price: 200,000/= Call/SMS 0743534388
1 Reactions
2 Replies
658 Views
Jamani habari za jpili, kila mtu na kilevi chake mimi nina kilevi cha gari aina ya Suv kubwa angalau yenye body weight tan mbili na kuendelea, nilikua na landcruiser PradoTx imeshaenda, hivi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kina msingi wa kisasa Eneo chanika Zogoali unapita kwa Mzeru mbele kidogo Size 19*19m Simu 0712464478
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Habari, kichwa cha habari kinahusika. Nahitaji kazi za typing Location: Huduma ni online. Yeyote mwenye documents zenye format tofauti na anahitaji iwe typed tuwasiliane kwaajili ya kazi. Naelewa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni connection kuhusu kupata material ya kutengeza bracelets Nipo Arusha Huku materials yanauzwa ghali sana, mwenye mawasiliano au maelekezo wapi naweza kupata nikiwa Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…