Ukipata nami nahitajiKiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc
Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara.
Zingatia isiwe kigamboni wala pwani kama mkuranga au kisarawe etc.
Kigamboni ipi hyo mkuu?Anaetaka Kigamboni ani PM
Hahaha,hizo 30m chenye Tittle dead kwa maeneo hayo ni issue kupataKuwa wazi zaidi.....30m au three million.
Ml 3 kiwanja kiwe nahati. Unamaanisha eneo limepimwa. Acha utani bwana...Kiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc
Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara.
Zingatia isiwe kigamboni wala pwani kama mkuranga au kisarawe etc.
Sasa kuna kiwanja kinapimwa kunatolewa hati kiwe na sqmt 50?????Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni kwamba wanaokataa kuwa hiyo pesa ni ndogo hawako tu makini. Huyu jamaa anataka kiwanja kwa 3M maeneo hayo. Hajasema ukubwa wa kiwanja na kazi anayotaka kufanyia hicho kiwanja.
Ndio maana nikamuuliza.....ninajuwa saana bei ya viwanja maeneo hayo.Hahaha,hizo 30m chenye Tittle dead kwa maeneo hayo ni issue kupata
Ukipata pesa fikiria mara mbilimbili
Na ndio maana tunaambiwa iwe na ndoto zinazoendana na research,sio kuwa na ndoto hewa.
Ninacho hakihitaji udalali ni mm mwenyeweMimi natafuta kigamboni
Kiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc
Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara.
Zingatia isiwe kigamboni wala pwani kama mkuranga au kisarawe etc.