Battery health :90%
Face id :ipo
Water proof
Camera :kali vibaya mno
Inakuja full box i.e charger,earphones na silicon cover
Price :850,000tsh
Contacts :0734828299
Toyota Crown classic,
T 823 DUV,
Year 2004,
Engine 4GR,
CCC 2490,
Full music system ,
Sport ligh with high detective colour,
Full documents,
In mint Condition,
Price 14m negotiation,
Location...
Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
VITAMBULISHO VYA PVC(PVC ID CARDS)
Hii ni maalum kwa
Shule za Secondary
College
Taasisi
Mtu binafsi
Company N.k
Tunatengeneza vitambulisho vya PVC (polyvinylChloride) ni vile vitambulisho...
Wakuu habari zenu.
Mwenye ndugu au babu yake kama anauza shamba kuanzia heka moja au zaidi lakini liwe barabarani au isizidi kama moja kutoka barabarani. Maeneo yanayohitajika ni kuanzia Kibaha...
Habari wakuu, nipo hapa Dar
Naombeni msaada.
Nataka kufufua gari langu natafuta hizi spare, wapi naweza kupata mpya na genuine? Bei?
5L Engine assembly (complete set ikiwa na kila kitu)...
Ipo mjimwema mtaa wa Kibugumo
Ina vyumba viwili master sitting room
Dining Room jiko na public toilet kiwanja kina 25×35 pia mbele kuna Boma la Frem
Mbili za biashara bei Tsh. milioni 85 maongezi...
Nahitaji mtu anaeuza flatscreen smart TV inch 32 brand Hisense. Napatikana Morocco ATS office eneo la Ada estate. Tunaandikishiana ofisini hapa kabisa.
Malipo: Nitalipa kwa two installments in a...
Habari wana jamvi,
Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar, Kigamboni. Naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake.
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono.
Nyama Nono ni dagaa...
Mradi mpya wa Viwanja vya Makazi Eneo la Vikawe,Km 6 kutoka Barabara kuu ya bagamoyo
●Magharibi mwa Bunju na Mabwe- Pande
●Vipo karibu na Barabara ya Mapinga-Maili Moja( inayojengwa kwa Lami sasa...
Naulizia duka linalouza vifaa vyote kwa ajili ya kutengeneza incubator Dar es Salaam. Anaye faham msaada taadhali hapa namaanisha fan, thermostart, digital thermometer na mashine ya kugeuza mayai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.