Natafuta gari ya SUV ya bei nzuri

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,669
2,000
Jamani habari za jpili, kila mtu na kilevi chake mimi nina kilevi cha gari aina ya Suv kubwa angalau yenye body weight tan mbili na kuendelea, nilikua na landcruiser PradoTx imeshaenda, hivi vidogo nilipata, ila bado nahitaji suv kubwa sitaki kuruger au rv4 naona zote ndogo offer yangu haizidi 30m, number D" odd meter isizidi 150000 km, sylinder nne au sita Mwenye nao tukutane inbox plz.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom